kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,184
- 3,221
Habari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti vya kitaaluma na kadhalika,
swali langu: nauliza je kuna ukweli hapa kuwa ukifanya lamination kwenye document za ki-taaluma pamoja na nyaraka za serikali kama (hati) kwa kufanya ivyo vinapoteza uhalali wa kutambulika kwenye sura ya sheria ?
maana upande wangu document zangu zote nimezifanyia lamination.
naombeni elimu hii ambayo sikuwahi kuwa nayo hapo awali.