The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kwanini cheti kionekane kua ni fake kisa tu kina lamination wakati cheti hichi hicho kita tambuliwa kua ni halali kama hakina lamination?Vyeti vya kitaaluma huwa vina code kwahiyo ukiweka lamination haina shida .
Na kuhusu nyaraka za kiserikali kama hati n.k usiweke lamination kwakuwa hakuna code hii itasaidia pale unapokuwa na mgogoro na mkahitaji kuthibitisha utaonekana umefoji
Asante
Nini kinafanya cheti chenye lamination kutiliwa mashaka?
kwani mtu hawezi kufake cheti kisha asiweke lamination?