kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Duh! Mbona hatari hii
PAMOJA SANAAsante na nahsukuru kwa kunielezea hiki ambacho kilikuwa kinanipa mashaka makubwa.
Kwa hiyo hati ikiwa na lamination inakuwa ni feki? Jamaa hebu tupe elimu juu ya hili, mimi nichojuwa hati ni namba na sio lile karatasi, cheti ni namba na sio lile karatasi.Ninachokifahamu kwenye hati,huwa haiwekwi lamination kwa sababu ukifanya hivyo unaondoa uhalali wa karatasi hiyo
Una buku nitoe lamination 😈 ?Nimeshtuka maana vyeti vyangu vyote nimeweka Lamination 🤕🙆♀️
Masheria ya KijingaBongo kuna miyeyusho sana kiukweli, sijui nchi za wenzetu ikoje lakini.
Chukulia mfano hizi kadi za NIDA jinsi zinavyolalamikiwa kuchakaa haraka, na usumbufu au ligi mpaka upate ingine ikitokea kikiharibika au kupotea, huku unaambiwa ukiweka lamination hakitambuliki 😃
Ukiweka nyaraka yoyote lamination tofauti na ulivyopewa basi inakua batiliHabari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti vya kitaaluma na kadhalika,
swali langu: nauliza je kuna ukweli hapa kuwa ukifanya lamination kwenye document za ki-taaluma pamoja na nyaraka za serikali kama (hati) kwa kufanya ivyo vinapoteza uhalali wa kutambulika kwenye sura ya sheria ?
maana upande wangu document zangu zote nimezifanyia lamination.
naombeni elimu hii ambayo sikuwahi kuwa nayo hapo awali.
Sidhani kama ukifanya lamination vinapoteza uhalali isipokuwa ninachokijua mimi ni kwamba ukifanyia lamination kuna wakati vyeti au nyaraka huwa zinahitajika kuwa certified/attested kwa kupigwa muhuri sasa kama umefanyia lamination hapa utakwama au itabidi ufumue lamination ili vipigwe muhuri.Habari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti vya kitaaluma na kadhalika,
swali langu: nauliza je kuna ukweli hapa kuwa ukifanya lamination kwenye document za ki-taaluma pamoja na nyaraka za serikali kama (hati) kwa kufanya ivyo vinapoteza uhalali wa kutambulika kwenye sura ya sheria ?
maana upande wangu document zangu zote nimezifanyia lamination.
naombeni elimu hii ambayo sikuwahi kuwa nayo hapo awali.
Kwa ufupi sana, akiweka lamination doccs zenye muhuri wa moto hazitoonesha uhalali wa doccument.Vyeti vya kitaaluma huwa vina code kwahiyo ukiweka lamination haina shida .
Na kuhusu nyaraka za kiserikali kama hati n.k usiweke lamination kwakuwa hakuna code hii itasaidia pale unapokuwa na mgogoro na mkahitaji kuthibitisha utaonekana umefoji
Asante
🤠🤠Una buku nitoe lamination 😈 ?
What is sheet protector and where do I get it. Ni kwenye stationery amaHati ina mhuri wa moto, ukiifanyia lamination haisomeki kwenye mfumo hati inawekwa kwenye sheet protector
What is sheet protector and where do I get it. Ni kwenye stationery ama
Hapo sina maelezo mengi zaidi ya kuwa kuna siku nikiwa ofisi za ardhi na hati ikiwa katika hali isiyo nzuri sana ,kwa lengo la kubadili umiliki nikajisemea kuwa kwanini asingeiwekea lamination mpaka ichoke kiasi hiki,Kwa hiyo hati ikiwa na lamination inakuwa ni feki? Jamaa hebu tupe elimu juu ya hili, mimi nichojuwa hati ni namba na sio lile karatasi, cheti ni namba na sio lile karatasi.
ok hapo ni sawa, nimekuelewaHapo sina maelezo mengi zaidi ya kuwa kuna siku nikiwa ofisi za ardhi na hati ikiwa katika hali isiyo nzuri sana ,kwa lengo la kubadili umiliki nikajisemea kuwa kwanini asingeiwekea lamination mpaka ichoke kiasi hiki,
Ofisa akasema haitakiwi kufanyiwa hivyo
Sheria ipi inasema hivyo?Kaa na vyeti vyako mpaka vichakae, ukiweka lamination ikaja kutokea una shauri mahakamani na vyeti vinahitajika itaoneka ni feki, si vile ulivyopewa na mamlaka ya nyaraka hizo