Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

Sheet protector za kutunza hati zinauzwa wap na ni sh ngap
Zipo stationary,siku izi ujanja mwingi,lakini wahitinu wengi vyeti vipo laminated na wapo maofisini [emoji3][emoji3]

Hawa wezi wa siku izi na wana sheria uchwara wana tafuta mbinu za kupiga watu na kufanya mambo yawe magumu

Ila ule mhuri wa moto huwa unafutika ukilaminet ,mi nili laminate tin number mhuri ukapotea,hadi utoe macho kweli kweli ndo uuone
 
Back
Top Bottom