Ngo la swali lako lipo wapi? Elimu ya kiTanzania ya kishenzi sana kwqni huko shule hamfundishwi junsi ya kuulizwa maswali?Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatai wa hati miliki za viwanja, akielezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja, vyeti vya kitaaluma na kadhalika, nauliza je kuna ukweli hapa maana upande wangu document zangu zote nimezifanyia lamination.
naombeni elimu hii ambayo sikuwahi kuwa nayo hapo awali.
Hebu toa maelezo yaliyoshiba kuhusu hiliUkiweka lamination hizo nyaraka zitakuwa feki.
Asante sana mkuu, changamoto yangu nimefanyia lamination document zangu zote na sikuwahi kujua kama kufanya lumination ni kosa kwenye sura ya sheria.Kaa na vyeti vyako mpaka vichakae, ukiweka lamination ikaja kutokea una shauri mahakamani na vyeti vinahitajika itaoneka ni feki, si vile ulivyopewa na mamlaka ya nyaraka hizo
usihofu kama hutatokewa na shauri mahakamani na vyeti kutakiwa umefanya vema kuviongezea uimara vidumu muda mrefu bila kuharibika kirahisiAsante sana mkuu, changamoto yangu nimefanyia lamination document zangu zote na sikuwahi kujua kama kufanya lumination ni kosa kwenye sura ya sheria.
mjuba unakumbuka cheti cha yule mwanadada mrembo kilichowekwa lamination aliambiwaje mahakamani? Mahakama inaweza kukataa cheti cha namna hiyo licha ya kuwa kina codeVyeti vya kitaaluma huwa vina code kwahiyo ukiweka lamination haina shida .
Na kuhusu nyaraka za kiserikali kama hati n.k usiweke lamination kwakuwa hakuna code hii itasaidia pale unapokuwa na mgogoro na mkahitaji kuthibitisha utaonekana umefoji
Asante
Huu uulizaji wa swali kibokoHabari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatai wa hati miliki za viwanja, akielezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja, vyeti vya kitaaluma na kadhalika, nauliza je kuna ukweli hapa maana upande wangu document zangu zote nimezifanyia lamination.
naombeni elimu hii ambayo sikuwahi kuwa nayo hapo awali.
mjuba unakumbuka cheti cha yule mwanadada mrembo kilichowekwa lamination aliambiwaje mahakamani? Mahakama inaweza kukataa cheti cha namna hiyo licha ya kuwa kina code
Jamii forum expert member hajui kuandika.Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatai wa hati miliki za viwanja, akielezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja, vyeti vya kitaaluma na kadhalika, nauliza je kuna ukweli hapa maana upande wangu document zangu zote nimezifanyia lamination.
naombeni elimu hii ambayo sikuwahi kuwa nayo hapo awali.
vyeti vyenye lamination huwa vinaleta utata mahakamani endapo una kesi huko na cheti kinahitajika kuthibitisha ushahidi wakoSijakuelewa mkuu naomba ufafanuzi zaidi