Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,508 Reaction score 15,276 Dec 20, 2025 #81 Evelyn Salt said: Hati ina mhuri wa moto, ukiifanyia lamination haisomeki kwenye mfumo hati inawekwa kwenye sheet protector Click to expand... Sheet protector za kutunza hati zinauzwa wap na ni sh ngap
Evelyn Salt said: Hati ina mhuri wa moto, ukiifanyia lamination haisomeki kwenye mfumo hati inawekwa kwenye sheet protector Click to expand... Sheet protector za kutunza hati zinauzwa wap na ni sh ngap
The email JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 709 Reaction score 1,349 Dec 20, 2025 #82 Vien said: Sheet protector za kutunza hati zinauzwa wap na ni sh ngap Click to expand... Zipo stationary,siku izi ujanja mwingi,lakini wahitinu wengi vyeti vipo laminated na wapo maofisini [emoji3][emoji3] Hawa wezi wa siku izi na wana sheria uchwara wana tafuta mbinu za kupiga watu na kufanya mambo yawe magumu Ila ule mhuri wa moto huwa unafutika ukilaminet ,mi nili laminate tin number mhuri ukapotea,hadi utoe macho kweli kweli ndo uuone
Vien said: Sheet protector za kutunza hati zinauzwa wap na ni sh ngap Click to expand... Zipo stationary,siku izi ujanja mwingi,lakini wahitinu wengi vyeti vipo laminated na wapo maofisini [emoji3][emoji3] Hawa wezi wa siku izi na wana sheria uchwara wana tafuta mbinu za kupiga watu na kufanya mambo yawe magumu Ila ule mhuri wa moto huwa unafutika ukilaminet ,mi nili laminate tin number mhuri ukapotea,hadi utoe macho kweli kweli ndo uuone
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 20, 2025 #83 Weka lemination kwenye fedha... Cc: Mahondaw