Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

Naombeni kujua mtu akikwambia nimeenda sehemu maalamu kufanya kazi maalumu ina maana gani?

Huyo mtu wako atakuwa ni mchawi aliekubuhu ama ni jambazi sugu mwisho kabisa ni freemason!.. achananae ipo siku atakufanyia wewe hiyo kazi maalum!.. kama ni jambazi atakukatakata akunyonye damu!! Kimbia haraka sana!
 
kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Maana yake ni afisa wa tiaraei alie tokea alusHa kwenda taNga, alafu akajilusa kutoka golofani 2 adi cHini na kuFaliKi
 
Back
Top Bottom