Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anha..ouky lakini kwa kusahihisha necta asidhani maana alienda after results..but nimekuelewa mkuuKazi ya Siri kama opresheni za kijeshi, chanjo, kusimamia na kusahihisha mitihani ya necta, nk
Anafanya kazi gani? Kisha tutakuwa na majibu.kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Maana yake ni afisa wa tiaraei alie tokea alusHa kwenda taNga, alafu akajilusa kutoka golofani 2 adi cHini na kuFaliKikuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
ni ITAnafanya kazi gani? Kisha tutakuwa na majibu.
Kila mtu ana kazi maalum kulingana na kitengo chake.
SHUKRANI MKUUMaana yake ni afisa wa tiaraei alie tokea alusHa kwenda taNga, alafu akajilusa kutoka golofani 2 adi cHini na kuFaliKi
Yaani hupaswi kuijua kasoro wahusika tuukuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
Sasa we fikiria hilo andiko langu ni tangazo lamachekesho! Baada litacheka nawewe!...😅hhaahahhhhhhhahahahaahahhahaa umejua kunifurahisha kwahiyo nisepe mapemaaaaaa daah you made my day
shukrani lakini mkuu
Maana yake ni kwamba, alienda sehemu maalum akafanya kazi maalum.kuna mtu wangu wa karibu kuna muda anasafiri ukimuuliza ulikua wapi anasema kufanya kazi maalumu na sehemu maalumu hapo ndo sielewagi kabisa..natamani anaeelewa haya mambo anielezee
For sureeAchana na umbea
MmhHuyo mtu wako atakuwa ni mchawi aliekubuhu ama ni jambazi sugu mwisho kabisa ni freemason!.. achananae ipo siku atakufanyia wewe hiyo kazi maalum!.. kama ni jambazi atakukatakata akunyonye damu!! Kimbia haraka sana!
sawa sawa