Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Attachments

  • IMG_0550.jpeg
    IMG_0550.jpeg
    497.1 KB · Views: 6
Ni ulikuwa wapi
Ulimuaga nani
Nilipanga kutembea na rafikiyangu akaaga Ile kajiandaa kajipodoa akaambiwa hakuna kwenda alinipigia simu analia😂😂😂😂
😂😂😂😂🙌
Kipindi bado nasuka nilikuwa nipo saloon, mmama akawa analalamika, yeye alikuwa kwenye kamati ya harusi, kashona mpaka sare, kampikia mumewe chap, kajiandaa kamsubiri arudi ale ndiyo aondoke kheeeh', akanyimwa..!!
akaenda zake kuvua nguo na kunawa 'mekap'...!🙌
 
😂😂😂Aisee Yani ukiolewa uhuru hamna Tena sasa ndo nn hivo
 
Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!

Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
Kumbe we ndo unamvujishiaga pepa Half american mpaka anafanikiwa, mi nikimuuliza umefanikiwaje ananambia yy hua anaandika point mpaka wachumba wanaandika "Nakazia" kwenye comment yake
 
Ushapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.

Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
Hahahah

Hii nimeona wanawake wengi JF wanalalamika.
Vp, mambo, unafnya nini, nyingi sana.
 
Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!

Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
Nakugawa Mdogo wangu 😂😂 lol
 
Ushapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.

Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
😂😂😂🙌
Halafu hawa wa salamu nyingi huwa wanakwaza,
Imagine mtu kakufata PM yupo serious eti 'niambie my'...!!
Naichukia hiyo 'niambie', hiyo 'My' ndiyo napata kichefuchefu kabisa..!!
 
Back
Top Bottom