Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
😂😂Kumbe we ndo unamvujishiaga pepa Half american mpaka anafanikiwa, mi nikimuuliza umefanikiwaje ananambia yy hua anaandika point mpaka wachumba wanaandika "Nakazia" kwenye comment yake
Halafu mzee wa kukazia huyu ni mrembo Lightysh bila shaka..!! Ila lakini mbona Mpaji nakuonaga kwenye moja na mbili..!!