Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Kumbe we ndo unamvujishiaga pepa Half american mpaka anafanikiwa, mi nikimuuliza umefanikiwaje ananambia yy hua anaandika point mpaka wachumba wanaandika "Nakazia" kwenye comment yake
😂😂
Halafu mzee wa kukazia huyu ni mrembo Lightysh bila shaka..!! Ila lakini mbona Mpaji nakuonaga kwenye moja na mbili..!!
 
Fanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!

Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
💐💐
 
Back
Top Bottom