Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Imefika tajiri🙌🫡👏Imeisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefika tajiri🙌🫡👏Imeisha.
Enjoy your lunch mdogo wangu.Imefika tajiri🙌🫡👏
Ishi sana tajiri 💃💃🥳🥳Enjoy your lunch mdogo wangu.
Hamna hii itakuwa na faida kwa mleta mada 😂😂 mbona kama n matumiz mabaya ya uzi wa wenyewe
Quote ya mwisho 😂🙌🏾🚶🏾♀️Hamna hii itakuwa na faida kwa mleta mada 😂
Mkuu mbona kazi wewe umeshamaliza unachofanya ni uhakiki tu nae anakuwekea mapozi ya kike ili ujae anavyotaka yeye 😂Akiskia itakua kasheshe hapa mkuu 😂😂😂😂😂😂
Na asipoelewa hatoelewa tena.Tupo very matured kwa haya mambo
Huo unakua ni utoto wa level za kunywa maziwa kwenye kichuchu...... I dislikeWanaume wengi wana hii tabia. Wanasahau si kila unachokitaka lazima ukipate.
NIitaomba kukusaidia mazoezi ya kutomchezea!!Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea
Sare muhimu na sherehe ya kumpeleka mtu aliechoka uhuru 😂😂😂😂😂😂🙌
Sasa tutashonaje sare, tumcheze mwali eti mamaa..??
Ni ulikuwa wapi
😂😂😂😂🙌Ni ulikuwa wapi
Ulimuaga nani
Nilipanga kutembea na rafikiyangu akaaga Ile kajiandaa kajipodoa akaambiwa hakuna kwenda alinipigia simu analia😂😂😂😂
😂😂😂Aisee Yani ukiolewa uhuru hamna Tena sasa ndo nn hivo😂😂😂😂🙌
Kipindi bado nasuka nilikuwa nipo saloon, mmama akawa analalamika, yeye alikuwa kwenye kamati ya harusi, kashona mpaka sare, kampikia mumewe chap, kajiandaa kamsubiri arudi ale ndiyo aondoke kheeeh', akanyimwa..!!
akaenda zake kuvua nguo na kunawa 'mekap'...!🙌
Kumbe we ndo unamvujishiaga pepa Half american mpaka anafanikiwa, mi nikimuuliza umefanikiwaje ananambia yy hua anaandika point mpaka wachumba wanaandika "Nakazia" kwenye comment yakeFanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!
Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
HahahahUshapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.
Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
Nakugawa Mdogo wangu 😂😂 lolFanya kwanza ajue una exist, anza kuwa serious na comments zake, like za hapa na pale, unamquote mara chache chache ile tu kirafiki, usivuke mipaka wala usilete utani wa hovyo kabla hajakuzoea, ukiporomoshewa mvua ya maneno mabaya sitakuwepo..!!
Mengine watakufunza wajuba wenzio, nisije maliza siri za kikeni nikatimuliwa kwenye chama..!!🙌
😂😂😂🙌Ushapewa mbinu.....mie nakupa nyongeza tu ukishapata chance ya kufika pm ingia na miguu miwili salimia, jitambulishe sema nia yako.
Sio unaenda pm vipi my niambie, sa uambiwe nini?? Kakuambia anataka kukwambia kitu?? We mwenye nacho ndio useme.
Au salamu nyiiiiingi, mambo, unajibiwa poa, za huko.....huku wapi???!!!
😂😂🙌😂😂😂Aisee Yani ukiolewa uhuru hamna Tena sasa ndo nn hivo