Naombeni Mbinu za Kumtongoza Mdada hapa JF

Ni ulikuwa wapi
Ulimuaga nani
Nilipanga kutembea na rafikiyangu akaaga Ile kajiandaa kajipodoa akaambiwa hakuna kwenda alinipigia simu analiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Kipindi bado nasuka nilikuwa nipo saloon, mmama akawa analalamika, yeye alikuwa kwenye kamati ya harusi, kashona mpaka sare, kampikia mumewe chap, kajiandaa kamsubiri arudi ale ndiyo aondoke kheeeh', akanyimwa..!!
akaenda zake kuvua nguo na kunawa 'mekap'...!πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aisee Yani ukiolewa uhuru hamna Tena sasa ndo nn hivo
 
Kumbe we ndo unamvujishiaga pepa Half american mpaka anafanikiwa, mi nikimuuliza umefanikiwaje ananambia yy hua anaandika point mpaka wachumba wanaandika "Nakazia" kwenye comment yake
 
Hahahah

Hii nimeona wanawake wengi JF wanalalamika.
Vp, mambo, unafnya nini, nyingi sana.
 
Nakugawa Mdogo wangu πŸ˜‚πŸ˜‚ lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Halafu hawa wa salamu nyingi huwa wanakwaza,
Imagine mtu kakufata PM yupo serious eti 'niambie my'...!!
Naichukia hiyo 'niambie', hiyo 'My' ndiyo napata kichefuchefu kabisa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…