Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Usiseme hvooo πππππsidanganyiki ng'ooo π kwenye huo mtego umenikosa,,ndege tunduni mieππΎπππ
umemhudumia mshangaz wako chap,,af utasema ulkua unapikaππππ€£π€£π€£π€£Usiseme hvooo πππππ
Na kusubiri mimi
Jamani weeeh πππππππumemhudumia mshangaz wako chap,,af utasema ulkua unapikaππππ€£π€£π€£π€£
yan ntakuandama na mashangaz ad ukae kwenye lineπππππJamani weeeh πππππππ
Ebu kwanza tuache habari za mashangazi let talk about ......
Nipe mbinu... Sasa nianze na wewe basi ππππyan ntakuandama na mashangaz ad ukae kwenye lineπππππ
Weh sichezei biblia ila najua jinsi yakumfanya mtu aingie kingi chapuKwa hiyo wewe ni kuwadi mkuuπ
HasemaNiliwakataza kunisumbua
πππππkua na adabu basiNipe mbinu... Sasa nianze na wewe basi ππππ
Adabu gani tena ..πππππkua na adabu basi
sjawah ata fkiria kufanya ivo π₯Adabu gani tena ..
π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί Unanitenga
π€£Mpigie.
Honey pot ππMkuu njo pm sema unamtaka yupi mi ntakupa namba chap...
Nacheka lakini naogopa ππππsjawah ata fkiria kufanya ivo π₯
na uogope ivo ivo totooππππππππππππππππNacheka lakini naogopa ππππ
Natania tu mwenzakoBaba bulubendi ulitongoza dume? π€£π€£π€£
Weeeeeh weeeeh weeeeeh hatareee hiyo πππ
Mnunulie lunch kilasiku ndan ya mwezi m,mojaKatika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine ikawa kweli.
Basi unajaribu kuzama PM unakuta imefungwa.
Kumuanzishia thread haijakaa poa.
Hapa najua kuna mavetelani kwenye hili swala.
Note: kama mambo yakienda vizuri, sito mchezea.