Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Daaah.... Nyie madogo wa siku hizi. Wepesi sana. Hili nalo unataka tujadili. Sisi miaka yetu hata asingeweza kuhoji sana. Mmekuwa walaini sana. Mnalegea legea mpaka kila mtu anawaingia kirahisi.Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..
Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae
1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.
Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.
Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?
Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?
Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
Soma alichoandika mtoa mada kwanza ndio utaelewa vizuri au ngojana wewe kwa nini uhitaji support badala ya kujipambambanua wewe ni mtu wa aina gani
Ushaelewa anachokilalamika mtoa mada au bado hujaelewa ?Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuuliza uliza mtu Maisha yake unazani ni vizuri Basi, kila mtu na Maisha yake, ndomana Kuna watu hawapendi kuzoea watu kwa ajiri ya Mambo maswali, ndomana wanasema naweza kukupa kadi yangu ya benki lakini sio Siri yangu ya Maisha, na Kuna Siri ya jeshi.Ulitaka awe anakuuliza nini
Hao ndugu ninao kama wanne hivi. No kuwazoea tu. Huwa nawapa taarifa za nyuma, usiwape current informationKwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..