Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

Kwa maswali hayo inaonekana huyo ndugu yako anaupendo wa dhati kwako, pia anatamani kuona unafanikiwa katika maisha yako.
 
Bora we shangazi yako, Mimi Kuna mama jirani kafungua kanisa nimehamia hapa nimelikuta, kama jirani anapenda kuniuliza uliza maswali ambayo hayahusiani, alafu ananilazimisha nisali kwake, namwambia Mimi ni mroma, huko mbali njoo hapa karibu sio Mara mmoja kila nikiongea naye, naona kero mpaka natamani kuhama hapa.
 
Wasiwasi Ndio akili unachowaza ndio sahihi nafsi huwa inaongea ila haitoisauti
Tumelelewa na mamaetu toka tupo wadogo mimi na ndugu zangu tuliozaliwa wote mamaetu alitulea na kututengeneza katika misingi yakutokumuamini mtu tena ndugu ndo weka mbali kabsa bola mtubaki kwasababu sikuzote mchawi atoki mbali na anaekuumiza anakujua in and out mtu kama hakujui ningumu kukumiza
Mamaetu alitufunza kuwa wasiri wa mambo yetu yaan wasiri kwelikweli kuliko hata usalama wa taifa na kufanya mambo kimya kimya yaan kama unajenga kaakimya,kama umenunua gari kaakimya kama umepata kazi nzur kaakimya sababu hivyo vyote ni vitu vya kuonekana na utajulikana tu bila hata kuwaambia watu leo tunaona faida yake So mtoa mada uko sahihi uisimwambie huyo Shangaz yako mambo yako it’s doesn’t matter hata kama kakulea hio sio sababu ya wewe kumwambia mambo yako unayoyafanya
 
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
Daaah.... Nyie madogo wa siku hizi. Wepesi sana. Hili nalo unataka tujadili. Sisi miaka yetu hata asingeweza kuhoji sana. Mmekuwa walaini sana. Mnalegea legea mpaka kila mtu anawaingia kirahisi.
 
na wewe kwa nini uhitaji support badala ya kujipambambanua wewe ni mtu wa aina gani
Soma alichoandika mtoa mada kwanza ndio utaelewa vizuri au ngoja
Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini?
Ushaelewa anachokilalamika mtoa mada au bado hujaelewa ?
 
Kuna mambo mengine wala sio ya kuyaleta humu. Yani tuache kuwaza mkataba wa DPW tuanze kumuwaza shangazi yako, kweli?
 
Huenda tunajuana nkakusimulia hali yangu ukaja kufungulia thread humu!
 
Ulitaka awe anakuuliza nini
Kuuliza uliza mtu Maisha yake unazani ni vizuri Basi, kila mtu na Maisha yake, ndomana Kuna watu hawapendi kuzoea watu kwa ajiri ya Mambo maswali, ndomana wanasema naweza kukupa kadi yangu ya benki lakini sio Siri yangu ya Maisha, na Kuna Siri ya jeshi.
 
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa..

Yaani kila nikiongea naye kwenye simu au nikikutana nae

1) Ataniuliza kazi nliyo-apply imeendaje..
2) Ataniuliza vile vyombo vya usafiri nlivonunua bado vipo, au nimeuza.
3) Kama ni kwenye simu Ataniuliza niko wapi.

Kuulizwa haya maswali mara moja moja ni sawa, ila kama mtu ananiuliza kila nikiongea naye kwenye simu, au Nkionana nae, kwa miaka 5 mfululizo namshangaa, bcoz huyo ndugu hawezi nisaidia connection ya Kazi ya maana, au hata million 2 niongeze mtaji, sasa sababu ya kuniuliza ivo kila mara ni nini? Ukizingatia sijawahi kuwomba hela, sijawahi kumlalamikia changamoto za kibiashara, na sijawahi kumwomba ushauri kwenye mambo ya utafutaji.

Najiuliza ananiuliza hivi ili aone atanipa heshima ya namna gani? Au nsipo kua na ivo vitu nitaacha kuwa ndugu yake?

Najiuliza mbona mm sinaga interest ya kujua kazi na biashara za watu Kwa undani?

Wenye uzoefu na binadamu wa aina hii naomba anieleweshe
Hao ndugu ninao kama wanne hivi. No kuwazoea tu. Huwa nawapa taarifa za nyuma, usiwape current information
 
Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote.

Kwa comment [emoji115]Kwann usione kama ni mtu anaekujali?au ktk kuishi nae ulishawahi gundua ana mambo za ushirikina kwa hiyo unaogopa kumpaa mchawi mafanikio yako.

Na kama sio mshirikina nakushauri usiwe na makasiriko hayo ni mambo madogo hutakiwi kuyapa nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ameweza kukulea kwa nini asijue maendeleo yako,wazazi kuulizia masuala ya kazi ni kawaida japo unaweza waza tofauti

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom