Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Guys namshukuru Mungu naendelea vizuri mpaka sasa.... nawashukuruni members wote na moderators wote ambao mlikua pamoja nami usiku mapaka sasa wengine bado mnaendelea kunifariji kuhakikisha naipata amani niliyokua naitafuta maana haikua rahisi pekeyangu kulipita hili ,,. Wengine mlienda mbali zaidi mkaacha shughuli zenu pamoja na uchovu wote wa siku nzima ya jana lakini kwa upendo wenu mliamua kukesha pamoja na mimi kwa maombi na maneno yenu nimefarijika sana... Sina cha kuwalipa ila tu nawaombea mda wenu mlioutoa kwangu usipotee bure,,, Japo ni wengi ila ningeweza kuwataja kwa majina,, lakini kama mlivyoamua kunifata na kunifariji sirini basi iendelee kua siri. Mungu awabariki sana na ninawapenda sana wote πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 

Amina, Ubarikiwe
 
What happened in that midnight mkuu maana ilikua saa 8
 
Hakika umeshiba neno la kiroho na bwana akafanye njia zako ziwe nyepesi na uponyaji wako uwe wa kudumu kabisa
 

Yesu akulinde dear.
 
chagua Mungu mmoja umwamini, rozali ni ibada ya miungu ya kirumi haina uhusiano na Mungu wa Yesu
kwahiyo wewe unaomba kwa mizimu na kwa Mungu. hautoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…