username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakuja kukuungisha kaka, code ni #Boss ya mboka nikija ntatumia code hyoKaribuni sana
Karibu sana mkuuNtakuja kukuungisha kaka, code ni #Boss ya mboka nikija ntatumia code hyo
WapoKuna madem wanaojambia mbali? 😂😂
We ulitaka nivutwe kwenda wapi?Akuvute uende wapi
Sasa mbona nimefika na hakuna Smirnoff Ice mkuu? Fanya uweke tafadhali.Za kutosha mkuu.
Jikoni mko vizuri mkuuKaribu sana mkuu.
Mkuu, kwa leo zimeisha ila ninakuahidi kesho asubuhi na mapema zitakuwepo.Sasa mbona nimefika na hakuna Smirnoff Ice mkuu? Fanya uweke tafadhali.
Jikoni mko vizuri mkuu
View attachment 3092736
Asante sana mkuu kwa sapoti yakoSasa mbona nimefika na hakuna Smirnoff Ice mkuu? Fanya uweke tafadhali.
Jikoni mko vizuri mkuu
View attachment 3092736
Hahahah we ahidi tu ila hata jana hazikuwepoMkuu, kwa leo zimeisha ila ninakuahidi kesho asubuhi na mapema zitakuwepo.
Basi muhudumu alijichanganya au hajui kujielezea.Sio, kweli
Smirnoff zilikuwepo ila amezitumia Captain .
Ila asante kaka kwa sapoti.
Karibu sana mkuu.
Samahani kaka ,kweli Smirnoff Vodka zipo ila Smirnoff Ice bado hatujazileta kesho mchana zitawepoHahahah we ahidi tu ila hata jana hazikuwepo
Poa mkuu Smirnoff Ice Black tafadhali.Samahani kaka ,kweli Smirnoff Vodka zipo ila Smirnoff Ice bado zilikuwa zimeisha kesho mchana zitawepo
Sawa kaka, Asante pia .Kesho kuanzia saa6 mchana zitawepo.Poa mkuu Smirnoff Ice Black tafadhali.
AsanteSawa kaka, Asante pia .Kesho kuanzia saa6 mchana zitawepo.
Karibu sana