Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

🤣🤣🤣🤣
Kuna Bar moja niliingia kula chakula maeneo ya Buza kwa Osama aisee ilikuwa na Watoto wakali made in Singapore nimekula nikaagiza bia, salio likakata mpaka nikampigia Mwana nipo safari natokea Iringa nimeachwa na basi hapa Mikese nilishuka kuchimba dawa tumbo linazingua sana na vitu vyangu vipo kwenye gari nisaidie hata 30k nichukue boda nilifukizie Mwana akatuma 50k nikaendelea kula vitu huku......
Bar ikiwa na Wahudumu wazuri na wacheshi waliochangamka utapata sana wateja.
 
Habari Yako manyanza😁
 
Sawa mkuu ,naendelea kupokea ushauri.

Ni mgeni wa hii biashara , nategemea maoni yenu kuboresha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…