Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Aisee as long as bado dunia ya JF ipo kuna siku tutakunywa ☺️☺️☺️Wine & Beer 😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee as long as bado dunia ya JF ipo kuna siku tutakunywa ☺️☺️☺️Wine & Beer 😋😋
Hapana sio njia ya vumbi, ni njia ya lami, ukitoka kinyerezi park pandisha na hiyo barabara.Oooh ni ile njia ya vumbi kama una pandisha kwa juu hivi
Ni kama unaenda au kama unatoka segereaHapana sio njia ya vumbi, ni njia ya lami, ukitoka kinyerezi park pandisha na hiyo barabara.
Kuna jitu linauliza eti wanataka ndogo? Watu wa hovyo banaWapo vizuri.
Ninashukuru Mungu kwa hilo, kuanzia muonekano mpaka huduma wanazotoa.
Karibu kama utahitaji.bila picha za mandhari hii ni porojo ndugu
Amesahau jukumu lake la msingi??? 🤣🤣🤣Nimemkumbusha alikua kajisahau....😁
Katikati.Ni kama unaenda au kama unatoka segerea
Hakipo kaka.Chakula kipo? Namaanisha chakula, sio chakula, tofautisha hapo
Sa itakuwajeHakipo kaka.
acha mawenge dogoKaribu kama utahitaji.
Kama pia huitaji pia ni sawa.
Sipo hapa kwa ajili ya kuomba.
Karibu sana mkuuNakuja
Sawa ,lakini kwa kuuza kitimoto hapana.Kwamba nini shida mkuu?
Kama ni udini mbona pombe na kitimoto vyote ni haramu kwao.
Sawa kaka,karibu sana.Nikija nasema NAJUANA NA USERNAME REQUIRED naomba huduma ya kifalme
Sawa mkuu.