Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Tafadhari mambo ya picha siyahitaji labda ujipige wewe mwenyewe ujiposti na sio kuwapiga watu.

Mtanisamehe kwa hilo.

Siwezi.
Watu wanataka picha ya pub wathaminishe kama ni hadhi yao. Hizo za wahudumu kaa nazo tutawakuta huko huko na miti tutawapiga kama wazuri.

Humu kuna vibopa na makapuku.
 
Nilipost kwenye jukwaa la habari na hoja mchangwanyiko naona moderators wameondoa huenda SI jukwaa sahihi .


Pub yangu bado ni mpya ipo kinyerezi mnadani (mahakamani)

Ninaomba ushirikiano wenu maana bado ni changa.


Huduma zipatikanazo ni kama vile chakula, vinywaji, shisha , pia burudani za ziada haswa kwa weekend mfano karaoke, performance kutoka kwa wasanii mbalimbali nk.

Namba zangu ni hizi 0757720362 kwa Mawasiliano na ushauri.

Pub inaitwa Run Way.
Karibuni sana.
Kitimoto, kitimoto, kitimoto
 
🤣🤣🤣🤣
Kuna Bar moja niliingia kula chakula maeneo ya Buza kwa Osama aisee ilikuwa na Watoto wakali made in Singapore nimekula nikaagiza bia, salio likakata mpaka nikampigia Mwana nipo safari natokea Iringa nimeachwa na basi hapa Mikese nilishuka kuchimba dawa tumbo linazingua sana na vitu vyangu vipo kwenye gari nisaidie hata 30k nichukue boda nilifukizie Mwana akatuma 50k nikaendelea kula vitu huku......
Bar ikiwa na Wahudumu wazuri na wacheshi waliochangamka utapata sana wateja.
Kaka kwa Osama hakuna bar hio Dar Safari ipo wacha wacha karibu na hospital ya buza.
 
Back
Top Bottom