Mambo ni mengi ila ndivyo ilivyotokeahalafu mimi navyojua mwanamke yoyote yule mwenye akili sawasawa hawezi kumuachia mtoto wake nyuma..
hata ikitokea amemuacha bs atampeleka kwa bibi yake kwa uangalizi maalum na sio kumuachia baba wa huyo mtoto
Sasa nashangaa wewe ilikuaje ukafeli hapo?
Option ni Moja tu go an take your babe then mpeleke shule ya serikali utatoa mchango wa kukunua mahindi ya uji tu haitozidi 20kNipe mbinu basi
Natambua mambo ni mengi tho ulifanya mistake kubwa sana.Mambo ni mengi ila ndivyo ilivyotokea
Ok nimeshampa best optionTusirudi nyuma, inatakiwa fumbuzi za suluhu za matatizo zifanyike kuelekea mbele
Kwamba wao hawana ushauri wa maana labda?Gen z hapa kaeni pembeni kidogo..
Atajua yeye aliyemzaa. Katika Dunia usipende kuingilia ya watu maaana watakuona kikaragosi. Labda kama umebwa ushauri. Katika Dunia ya leo mtoto wa mwenzio si wako, ni wake.Then what next?
hakuna kitu kisichowezekana ulishirikisha mamlaka husika I mean usitawi wa jamii..nkNilijaribu hivyo mwaka juzi iliniletea shida kubwa so haiwezekani dear
Cha kufanya: Wewe unatoa mchango gani kwenye ada? Kwa nini usijishughulishe wewe ili upate ada? Nauliza hivi kwa sababu nina uzoefu mkubwa na hii situation, imenikuta (mimi ni mwanaume). Tulishindwana, ila mama akawa hatoa msaada wowote, na anang'ang'ania mtoto kama luba. Akipata fedha ni yake na bili za ada plus kila mahitaji ya shule naletewa mimi. Yeye anaona hana jukumu lolote na kuna wakati anadanganya shule inahitaji hili na lile kumbe ni uongo. la sikatai kuna wanawaume wana matatizo. Ushauri; jitume wewe, msaidie pale anapokwama.Sio mume wangu, ni mtu tulishindwana miaka mingi akamkatalia mtoto nilikuwa masomoni sikuweza kumchukua, nimemaliza nikawa najitafuta sikuwa na huo ujeuri wa kumchukua japo ilikuwa mbinde sana kumchukua mtoto kila mtu alikataa nisimchukue sina uwezo wa kumhudumia, basi ndio ikawa hivyo mpaka leo!
N.b Hachukui ushauri wangu wowote kuhusu uyo mtoto..
Huko ni kuvuana nguo hadharani kwahiyo ukiwaonesha watu mavuzi yangu itakusaidia nini!!!We mwenyewe si unaona mlivyo na kauli za kishamba!
Wewe nenda watajua namna ya kumbana..Hasa kama maafisa ustawi wa Jamii wakiwa kwenye kata yako itapendeza zaidi maana hilo ni swala lao.Sawa, sasa kwa mfano hapo akiambiwa kumpeleka mtoto na asimpeleke what next? Maana ana kiburi jamani😣
Familia zimekaa kimya kwao tu wameshindwa, kila mtu kajitoaWewe nenda watajua namna ya kumbana..Hasa kama maafisa ustawi wa Jamii wakiwa kwenye kata yako itapendeza zaidi maana hilo ni swala lao.
Japo kufika huko hakikisha mmemshindwa kwenye ngazi ya Familia.
Nenda halafu ionekane kweli wewe na yeye nan atakua mjingaAnasema nenda siogopi afu tutaona mi na ww nani mjinga