Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Relax!

Kuchapiwa hakuepukiki 📌📌📌
IMG_20210411_104238_223.jpg
 
huyo mkeo ameliwa haswa, tena amekunjwa style ambazo ww humfanyagi huenda na nyuma kaliwa. amua 1 kuendelea kuchapiwa ama kupiga chini jumla.
 
Kama kawaida KATAA NDOA ni mwendo wa point 3 muhimu each and everyday😀😀😀
ni humu tuu.

BADO HUJASEMA🤗


Unlearn then learn again!!!!
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Piga chini tafuta pesa
 
waliokusauri kuoa saivi wanachekea chooni😀😀😀😀. Sisi wazalendo wa kweli KATAA NDOA ndo tunakukanda.

Yaani wewe hata lugha za wanawake huzijui na bado ukaoa. Ngoja nikusaidie kitu huyo mke wenu aliposema hawajafanya kitu na MUME MWENZA amemaainisha WAMEFANYA KIDOGO, WAKIPATA NAFASI TENA WATAFANYA SANA.

POLE SANA KIJANA TATIZO KENGE HUWA HASIKII MPAKA ABONDWE KICHWA NA DAMU ZITOKE MASIKONI😀😀.
 
Comment za gen z ndo kama ivo

Lakin ukishatoka hii stage , utaishi na mwanamke mzinzi tena kwa upendo wa kutisha
Labda kama wewe na huyo mwanamke wote ni wakike.

Hakuna mwanamme kamili anayeweza fanya ufala wa namna hiyo wa kuishi na mwanamke mzinzi.
 
Mkuu ulitegemea huyo Mwanamke angekubali kama kainamishwa chuma mboga?
Ah sass usipo muamini mkeo umuamini nani tena. Mke kasema hajatombwer, so hajatombwer full stop.
Na ata kama katombwer kuna mke wa nani dunia hii hajatombwer huko nje?
Wee prince charles wa england walimtombea mke wake pamoja na ulinzi wote sembuse wee kajamba nani hapa duniani.
 
Back
Top Bottom