Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

Sawa asante
 
Asante kwa ushauri🙏
 
Umemaliza.
 
Well said
 
Kwa sababu wewe ni wakike mfuate mfunge ndoa ya kikristo ila ungekua wa kiume ningekuambia usibadili dhehebu la dini kisa mwanamke.

Yote kwa yote Mungu ni mmoja kama unaamini hivyo fungeni ndoa ya kiserikali ili kila mtu awe na uhuru kweye imani ya dhehebu lake, kumbuka ndoa ni tendo la kuingiliana ambapo inafungamanishwa kwa kifo kupitia uzao wenu na hapo ndipo inatimia mpaka kifo kitutenganishe.

Nakutakia ndoa njema na ukawe mke mwema kwa jamaa ila siku ya sabato jamaa itabidi awe tunakula nae migahawani na siyo kumlisha viporo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…