Nikweli mkuu, mke anapigwa na (mpelekee moto). Lakini kwenu vijana hadi mfikie umri wa busara, basi lazima mtakua mmepitia kwenye mambo za makofi na kufinyana. Or though, hiyo haijafikia tiketi ya kumfanya mke ampeleke mume wake polisi (huko polisi mlisha bainika ndio maana mkawekewa Dawati)no matter what huwezi sema unapiga mke kiasi kwamba anaenda kuuguzwa kwao huo ni upumbavu.
Nisipokua mnafiq, huyo hafai kupata cheo cha mke aiseeee...Wakwangu ni zaidi ya mwaka sasa yupo kwao. Nae alileta pigo hizo hizo za kukimbilia police
Huyo kunalimot inamuongoza na mke anaekimbilia polisi huyo sio mkeSiku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Kwanini na wewe ukimpigia? Tuanzie hapo kwanza.Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Naunga mkono hoja qudadadeq.....Huyo kunalimot inamuongoza na mke anaekimbilia polisi huyo sio mke
Yes.nami pia sijatetea swala la mke kwenda police lakini what if ndio tabia ya kila siku ya huyu jamaa ?, familia zimesuluhisha mara kibao lakini hali haibadiliki? mke amevumilia ameona inatosha? huoni kwamba jamaa ndio mpumbavu na source ya kuharibu ndoa yake?,na yet mnampa kichwa kuwa aachane na huyo mwanamke bila kutafakari kwa kina yamkini yeye ndio tatizo.Nikweli mkuu, mke anapigwa na (mpelekee moto).
Lakini kwenu vijana hadi mfikie umri wa busara, basi lazima mtakua mmepitia kwenye mambo za makofi na kufinyana. Or though, hiyo haijafikia tiketi ya kumfanya mke ampeleke mume wake polisi (huko polisi mlisha bainika ndio maana mkawekewa Dawati)
Ohhhh....Yes.nami pia sijatetea swala la mke kwenda police lakini what if ndio tabia ya kila siku ya huyu jamaa ?, familia zimesuluhisha mara kibao lakini hali haibadiliki? mke amevumilia ameona inatosha? huoni kwamba jamaa ndio mpumbavu na source ya kuharibu ndoa yake?,na yet mnampa kichwa kuwa aachane na huyo mwanamke bila kutafakari kwa kina yamkini yeye ndio tatizo.
Yes hatuwezi kufikia conclusion ya swala la huyu jamaa bila kusikia upande wa pili ili kupata uhalisia wa jambo lenyewe.lakini all in all jamaa ni mpumbavu bila kupepesa macho huwezi piga mwanamke kiasi anaenda kuuguzwa, siku ya siku atajikuta ameua bila kukusudia.Ohhhh....
Basi skunyingine usije ukafanya concussion kwa what if.....
Anyway, upo sawa mkuu
Ushaambiwa hakuna unalojua kuhusu ndoa. Funga domo lako aisee... Unakera.Simtetei yoyote maana sijui undani wa matatizo yao ila ikibidi mtu apelekwe polisi iwe mke au mume na apelekwe tu
Kama uko Dar mpeleke shopping Mlimani City.Siku chache zilizopita tuligombana na wife wote tuliumia, lakini badae akaenda police kunishtaki kuwa nimempiga na jalada lipo police, naombeni ushauri kukiepuka kikombe hiki.
Nasema hiviii.....hakuna NDOA hapo. Mwanaume anayempiga mkewe mara kwa mara huwezi ni wazi amekosa akili ya kubadili mambo ya hapo nyumbani ili kuondoa mazingira yanayoleta makosa kujirudia.Shika adabu yako hujui watu wametoka wapi baada ya kuwambia wasameheyane wewe chura huna mke hapo daa dekii ,sasa akiachwa utamuoa weye.
Kheeeeh mkeo amewapa pesa polis ili ukamatwe, kwani ulimkosea nn?Ndio japo mwera wananitafta nimewaambia nimesafiri ili niende j3 naogopa wakinidaka leo Hadi j3 sero no hatari na nasikia katembeza pesa hapo kituo Cha police
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inamaana ni mwanaume mwenzio na sio mke?
Bado upo nayeMimi alishanipeleka polisi....kufika pale anawaambia polisi eti nataka 0713.....wakati hata sijawahi kufikiria zaidi ya kushika mat..ko tu....halafu tuna watoto 4....WANAWAKE NI WAUWAJI.
Hawa wenye mikia wa humu ndani wanaona haki yao.kupiga mke mpaka wamng'oe macho....ila wakioelekwa polisi wanaona mke hafaiMmmh shauri zingine bwana!! Hadi zinakera....asa sumu imekujaje hapo, yeye kasema waligombana hujui ugomvi ulikuwa mkubwa namna gani, hujui wakati mtoa mada anampiga alimpiga kwa tahadhari ya kutokumuumiza au alikuwa anapiga liwalo na liwe? Afe, abaki salama, aumie atajua mwenyewe mwenzie kaenda polisi kushtaki we unasema habari za kumuua na sumu
Huna mke apo, fanya maamuziImeshindikana mkuu
Ha haaa wewe unajua nini dogo? Kila mtu anaijua ndoa yake...hutaijua ya kwangu na sitaijua ya kwako. Kama nakukera JAMBAUshaambiwa hakuna unalojua kuhusu ndoa. Funga domo lako aisee... Unakera.