Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

Inasikitisha sana.. nimefurahi kakueleza Mpe moyo mfunze yapi ni yapi

Lolote utaongea nae usimgombeze kabisaaaa.. kuwa rafiki yake zaidi na akuamini wewe na mwenzako.. pogeni nae kama story.. itamuingia kizaidi kuliko kumpa uwoga.. muongee asiwepo mpange kumfunza kwa pamoja hata mmoja akiwa hayupo
 
Amwambie asije akathubutu akadakana na wenzio hata siku moja
 
 

Attachments

  • 20231001_140124.jpg
    35.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231001-140101_WhatsApp.jpg
    120.4 KB · Views: 2
Endelea Kumwambia Kila siku kuwa huo Mchezo sio Mzuri, Mwambie Pia awe anakwambia Kila akiona watoto wakidakana, pia Mwambie Mtu ama Mtoto yeyote akitaka Kumdaka akatae, akimbie, kama ni Shule akaseme Kwa Teacher na akija Nyumbani akwambie
Mwisho kabisa, nenda Kawa face Wazazi wa hao watoto aliowataja, kuwapa awareness, waingie Kwa Busara Kubwa sana
 
kama unafahamiana na wazazi wa hao watoto walio 'dakana' wafikishie hili swala ili mfanye kuwakanya wote kwa pamoja mmalize tatizo lote, na kama kuna jinsi wanajifunza hiyo tabia mfahamu pia tatizo limeanzia wapi
Hilo ndiyo jibu, awafikishie wazazi ili kila mmoja aongee na mwanaye na kumkanya, sababu yeye si kisiwa ataenda kucheza tu.
 
Kama umepanga hama kabisa hilo eneo tafuta sehemu palipo staharabika maana bila shaka inaonekana hiyo sehemu ni uswahilini.

Kama haujapanga ,zungushia uzio eneo lako kumuepusha mwanao kuiga tabia za hovyo.
 
... Bint kishashuhudia mbususu inavyochakatwa.. hapo ni kuomba Neema ya Mungu tu imsaidie.. JF utakufa kwa presha uache watu wajidakie kama rede ya wote.
 
Malezi ya Facebook... baba tangu asili ni mwamba furani akiingia ndani si mama wala watoto wote anatakiwa kuwa bussy labda apende yeye mfurahi
 
Daka niku dake = Dakana

Huyo mtoto kwa aliyoyaongea huna haja yakumficha chochote anajua kuliko unavyodhani, kaanae vizuri akuanbie anavyojua ili na wewe umwambie ambavyo havijui kwa kifanya awe na awareness na hilo jambo.

Kosa kubwa utakalofanya nikujaribu ku create any resistance hapo, maana kufanya hiyo ndio ume create awareness kwa huyo mtoto ku dig deeper kuyajua yahusuyo KUDAKANA
 
Et ku dig deeper πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
usikae kimya kuhusu hili brother kaka,hiyo tabia ya kudakana itakuwa ipo katika michezo yao ya kila siku na huo mchezo ni mmojawapo kama vile kupika pika.,hilo neno kudakana huenda kuna mzazi mmoja wapo ama kaka au dada aliwahi kuwafumania wakifanya hilo jambo akawaonya kwa kutumia lugha hiyo ya kudakana na wao ndio maana wanalitumia na huenda mwanao pia alishadakana na mwenzake ndio maana alikuhadithia huku anaona kama vile anakushtakia hao wenzake hili na wewe uwakanye ama kuwaadhibu kama alivyowaadhibu aliyewapa jina hilo.cha kufanya kama una ujirani mzuri na majirani zako mchukue mtoto na uende nae kwa wazazi wa hao watoto na uwaambie watoto wenu kuna michezo ambayo si mizuri wanacheza inayoitwa kudakanana,pia mshirikiane kwa pamoja kuwahoji waeleze vizuri walipoiona hiyo michezo na muwakanye ama kuwaadhibu bila kuchekacheka hii wajue uzito wa hilo kosa na wawe wanakumbuka kila wanaposogeleana hili wadakane.baada ya hapo hakikisha masaa yote uwe upo ama haupo unajua na unazingatia mwanao anacheza kwenye mazingira gani na marafiki wa aina gani,nyumbani kuwe na ratiba maalum mtoto asiachwe tu eti akitoka shule awe tu yuko huru kuzurura na kucheza cheza ovyo mtaani muda wote,mtafutie mazingira yatakayomfanya muda mwingi awe yupo nyumbani hata akiwa anacheza asiwe mbali nanyi huko migombani,pia kucheza kuwe ni muda mchache tu ambao pia awe anafuatiliwa michezo yake na mama,dada,kaka au yeyote anayekuwa nyumbani wakati huo kwani tukiwaacha tu wacheze cheze ovyo je akija kudakwa na kijana mwenye umri mkubwa zaidi yake aliyeanza kubalehe si ndio uharibifu unapoanzia? bila shaka atakuwa mtoto wako wa kwanza mkuu au hapo nyuma hukuwa na mazoea ya kukaakaa na watoto? huko mtaani ndiko kuna elimu zote za kishenzi atajifunza mapema.SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI AKIKAUKA UTAMVUNJA.
 
Du sister jay Dee alisema hee mzazi fungua macho na umwambie usimfiche utaokoa maisha yake wala usimfiche Kwa manufaa yake
Huu sema Naee
Huu ukae naee kwa sauti ya upole mwambieeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…