Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

Soma Forex, am here kukusaidia kwa hilo na kuambia utasahau hiyo Data analytics maana hapa pesa nje nje ni wewe tuu uchukue kiasi gani kulingana na account yako ambayo ita determine risk management kiasi gani.
 
Achana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I

Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.

Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
Unasema kweli?
 
Forex tayari mwayaa nilijifunza mwenyewe mwaka 2016 nika trade currencies mpaka 2019 nikaanza kutrade volatility then nikaamua kutoa mtaji wangu nikaacha kwasababu nilikuwa sifiki malengo workdone=0. sasa hivi umri unakimbia nataka nipate skills ambayo naweza kufanyia kazi nikalipwa nisije kujikuta natembeza mchicha kwenye beseni ili watoto wapate kula 😂
 
Ina tegemea na strategies ulizo kuwa una tumia je zilikuwa nzuri, mbona wengine wame fanikiwa kwanini iwe wewe. Zamani hakukuwa na wingi wa propfirm, mimi mwenyewe kwa mtaji niliyokuwa naweka dola 100, 200 kuunguza ilikuwa ni wimbo wa taifa, ila kwa sasa nipo kwenye propfirm zamani MFF ila ika fungiwa na mtaji wangu huko uzuri nili withdrawal kama mara 5 hivi, sasa nipo FundingPips nina mpango wa kuingia FTMO ili ku diversify hizi propfirms.
Mtaji wa chini dola 5000, dola 10,000 ni wewe tuu na hela yako ununue account kubwa kiasi gani kuna mpaka account za dola laki 2 so unakuwa huru ku trade na lots kubwa bila shida sababu mtaji una ruhusu.
Ujanja ni PROPFIRMS KWA SASA.
Usikate tamaa tafuta best strategy japo haipo ya accurate 💯 ila zipo zinazo toa matokeo mazuri mnoo ukiwa na consistency na good risk management.
 
Asante huo mtaji sina na pia nimepoteza interest na forex siwezi kufanya kitu ambacho sina interest nacho lazima nitapoteza tuu.
 
Tafuta dola 100 nunua account ya dola 10,000 sema basi tuu hauna interest tena. Mbeleni huko karibu tena kwenye community yetu ya traders 😉

kuna jamaa yangu ana trade akitaka kurudi nitakuunganisha naye ummpe madini
 
Achana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I

Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.

Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
I need this chief
 
Hii course unalipia au ni bure
 
Kongole
 
Asante kwa ushauri lakini nimebadili gear nataka nisome salesforce administrator, tatizo la kujifunza mwenyewe naona kama itanichukua muda mwingi kuelewa kwasababu sina background ya IT , nilitaka nianze na hao alx africa kisha nitakuwa naongeza ujuzi mwenyewe , nikifanikiwa kupata admission ya alxafrica hakika sitashindwa hiyo course . huko kwenye data science, naona sitaiweza hiyo labda nikae na mtu face to face anifundishe . kwenye web development naona front-end sio ngumu sana. kwa Sasa naangalia angalia nijikite kwenye salesforce administrator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…