Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Mbona hela ndogo sana hio utapata zingine usijutie.
Mimi nimepoteza 350M na still nipo happy nachukulia ni malipo ya Ada ya kujifunza maisha.
Mapito ni funzo ili kesho uwe Bora zaidi.
Kabisa mzee.350m umepoteza kwenye biashara gani mkuu.
 
Subiri kwanza tutoe vyombo majumbani. Maji yamejaa huku kwetu.
 
Sometime manipulation sio nzuri hata kidogo.

Unapotaka ku-post kitu chochote kile jaribu kuunganisha matukio na post zako za nyuma uone kama trends zina-match kuanzisha uzi mpya. People are not that idiot. They can absolutely access your previous posts anyhow.

Mfano, Mtu ana-post

Leo[emoji117]Nina MTAJI wa 500,000/= naomba ushauri Biashara ya kufanya niko dar.

Kesho[emoji117]Nina bajeti ya million 15, wapi nitapata gari zuri la kutembelea hapa morogoro?

Kesho kutwa[emoji117] Nimeamua kwenda rukwa nikaanzishe kilimo cha mpunga, kuishi kwa wazazi nimechoka. Maombi yenu wadau.

So, Which is which [emoji849][emoji849][emoji17][emoji17].
 
Dah ninyi wenzetu mnapataje Hizo kazi za hela ndefu? maana huku kwetu kwenye TGS ni upuuzi mtupu
 
Ndugu acha kudanganya tunalipwa vilaki 4 vitano huko mbona tunawekeza hayo mashamba tunayo tena maeneo potentiel kabisa
Bila kuchukua mkopo wala kuiba kwa lak 4 au 5 hupati maeneo potential tusidanganyane labda ukanunua mapori ukisubiri siku moja pawe mjini.
Laki tano kwa mwaka ni milion 6 bila hata kutoa sumni.
 
Karma,bajeti inatoka ununue kilo 200 za mchele wewe unanunua kilo 100.
Usijilaumu hela ya madili huwa ni ya kustarehe,ulinunua gari gani kijana?
 
Umenizidi Ukengee,ila basi usijilaumu sana.Miezi 6 maanake ml60 tu. Ukitoa ya gari hapo 26mls....songa mbele.
 
1.Anzisha biashara ya vipodozi sehem za uswahilini
2.Fanya biashara ya miamala uswahilini.au uza gari uongoze mtaji ili ufanye biashara ya miamala ..
Sema maskini tukipata tunakuwaga na wenge la pesa sana.
 
1.Anzisha biashara ya vipodozi sehem za uswahilini
2.Fanya biashara ya miamala uswahilini.au uza gari uongoze mtaji ili ufanye biashara ya miamala ..
Sema maskini tukipata tunakuwaga na wenge la pesa sana.
Tunapata ukichaaa.
 
Umasikini upo kwenye akili za waafrika sio kwenye hela ndio maana wale jamaa wa M bet na sportpesa pesa wanashinda hela nyingi ila wanarudi tena kwenye umachinga wa kutembeza vitu mitaani everything starts in the mindset that's why lottery winners aren't billionaire.
 
Milioni kumi * 6 = 60m.
Kama umenunua gari plus eneo ekari 5 na una akiba ya 5m. Nakupa big up wala hujachezea pesa kumbuka ulikula bata pia. Kwa mwendo huo ungekua na hiyo kazi Kwa miaka 5 ungekua mbali sana. Angekua wa kiume hata boxsa asingenunua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…