Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Ahsante mkuu maana nisije vuruga malengo yangu kisa mwanamke.
 
HAya mambo mnaweza yachulia simple but trust me hii generation inaelekea kuchanganyikiwa. Huyu nimekua nae kwenye mahusiano kitambo kidogo ila alianza mauza uza mwenyewe nikaamua kuvunja mahusiano ila kabla ya hapo amekua na maombi ya aina hii toka 2019 mi namkazia kwa kumpa vi ahadi. Huyu ye ni wa 95
 

Attachments

  • Screenshot_20231201_184713_BeSoccer.jpg
    19.4 KB · Views: 10
Hapo nilipobold hapo, sina ushauri wasikilize ma bro.

Hata hivyo mimi sio muumini wa wagawa mbegu, na wapokea mbegu huku na kule, no offense.

Ila Vinci ingekuwa hiyo pisi iko yenyewe yenyewe ningekushauri uwe naye, narudia hamna kitu kizuri kama kuwa na mwanamke anayekupenda.

Hapo mwishoni ngoja nione chakufanya.
 
Aisee pole mkuu. Haya mambo yapo mm wanajf wanasema eti najichatisha mwenyewe. Ila ngoja nimpotezee kuhusu kuzaa
 
Sijafika kiwango hicho cha ujjnga nimekua Gentamycine mimi?
Nakuamini Vinci. Ila kwa ushauri wangu, kama huna mahusiano yenye mwelekeo wa kuwa yamda mrefu (akili imekataa kuandika 'ya kudumu') basi msome kwanza huyo mama kama anaeleweka unaweza kumvuta ndichi mkafanya maisha nae kama na wewe umemwelewa.
 
Muda ulonaao nao sasa ni muda wa kufikili na kuangalia kati ya madem ulionao ni yupi anafaa kwa matumizi ya familia,, yupi mwenye afya njema ambae ataweza kumudu kubeba ujauzito ma yupi mwenye akili timamu.
Hawa watu wa kukuomba yeye hapana mwambie tu katafute mwingine ww pia unavigezo vyako.
 
Shida sina dem ndio tatizo linapoanzia😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…