Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kuwa makini sana alafu kuna wimbi la baadhi ya wanawake kujirahisisha sijui n nn tatzo au ni january?Huu mwaka nashindwa kuelwwa umeanza vizuri au vibaya maana umeanza na mitongozo afu leo tu nimetoka kwenye drips
Fafanua hii mkuu!!Usikubali ,wengine ni maagenti wa kuzimu
Ndio maana hakuna jasusi hatari kama jasusi mwanamke.Mi nilipigwa mistari na binti wa miaka 16 hadi nikamwambia "nipe muda nikafikirie ombi lako naogopa kukubali haraka usije kuniona malaya."
ila sisi wanaume kwakweli hatujui kukataa demu anaweza kukuita kwenye mlango wa jela na ukaenda
Mwanangu toka nilivyoachwa na yule mdada utadhani aliniroga yani ππ ndio maana napenda kujua zaidi saikolojia ya watu, binadamu nikiumbe changamfu sana!.
mchunguze umjue nje ndani kupitia taarifa zake utaweza kujua/kukisia lengo lake ni nini.. chambua maneno yake na stori zake msogeze karibu akupe historia ya maisha yake then kupitia historia yake utapata maswali magumu yakumuuliza!,usisite kumuuliza we muulize halafu angalia anavyo react ukimuuliza hayo maswali.
ikiwa utafikia maamuzi yakulalanae pima nae afya na umpime mimba na kaa ukijua ukishampa mimba movie halisi ndio itaanza...ππ
π π π π totoo hunipati hata ukatambike labda ukizaliwa tenaKua na adabu dogo ww mwenyewe wa 97
je wajua.Watasema upele humuota asiye na kucha.
Lakini,
Mit 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Yaani ukitulia ndio wanajileta ukiwafatilia huwapati. Hutu dada itabidi nifanye nae mazungumzo ya kinaKuwa makini sana alafu kuna wimbi la baadhi ya wanawake kujirahisisha sijui n nn tatzo au ni january?
Alafu ukiwa umetulia huna habari na mizagamuano ndio zinajileta hatari.
Mi kuna kipindi nna upepo alafu kuna kipindi huo upepo unakata. Ukikata ni balaaYaani ukitulia ndio wanajileta ukiwafatilia huwapati. Hutu dada itabidi nifanye nae mazungumzo ya kina
Daaah πππππUnajitumia meseji unajijibu mwenyewe stop this madness
mkabizi mtima sasaHatari sana nyota ya jah imeniwakia
Kwanza unaonekana Kiswahili unakijua vizuri Sana ila kwa kutaka sifa umeamua baadhi ya maneno uweke kwa kiingereza( ujinga mtupu na ushamba).Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.
====
Binafsi mbali na utani na utundu wangu naokua nao huku Jf. Ila huku duniani nimtu tofauti nimezubaaa saaaaana +Shyness (Sorry if it sound weird). Kutokana na jinsi nilivyo swala zima la kupata mwanamke kwangu hua kipengele sana[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
So for the past 2 months kuna mgahawa nilikua napenda kula maramoja moja. Nikifika pale nafanya kilichonipeleka tu just salam, kuagiza chakula nasema ahsante kisha ninapita hivi.
Sasa mmiliki mwenye mgahawa mdada alikua akiniona ananichangamkia sana.. As a man nikawa nishajua she's into me. Coz kuna muda nilikua napata huduma kuliko kiasi cha pesa nacholipia.
Sasa siku moja tuko na wengine workers nikawa nami naongea hapo ndio akapata chance ya kuwa anazungumza nami. Mara nyingi sana amekua akisema live kua she's into me. Mm hata sijali najua utani. Juzi hapo ndio akaniomba namba yangu nikachukua simu yangu akajidip nikawa na namba yake.
Sasa jana jioni akawa ananitext na kueleza anachotaka kwangu... Kiufupi huyu dada anataka azae na mimi. Yaani anasema anataman azae na mimi tu basi[emoji848][emoji848]. Nilijua anatania nikiamwambia saa mbili nitapita alipo aonge live hicho anachotaka kama kweli yupo serious.
Jioni nikaenda alipo akanipiga mistari kama yote hadi nikamwambia hii haijawahi tokea maishani mwangu[emoji3]
Kama kawaida yetu wanaume hua ni maharage ya mbeya mbele ya vocals za wanawake ilibidi nikubali tu ili nisionekane mnyonge/boya.
Nilimwambia mm sijajipanga kuzaa au kuoa mwaka huu yeye akasema hana shida na kuishi na mimi.. Hahitaji hata shing mia yangu anachotaka tu mm nimzalishe.
Ameniambia yeye ana nyumba yake ya urithi na frame za urithi mjini zenye wapangaji +plus mgahawa yeye anahitaji mtoto nami tu hata nisumbua kwa lolote.
Tatizo ananizid miaka kadhaa maana yeye ni wa 96 mimi wa ....... Ila sura, tako shepu matata vyote vipo
Sasa wakuu nipeni muongozo juu ya hili swala niamue nini kuhusu swala la kuzaa nae. Maana siwezi susia free utelezi. Mwenyewe anataka Jpili hii tuanze shughuli ya kumtia mimba[emoji51][emoji51][emoji51]
Kwa wapenda pichaView attachment 2862817
View attachment 2862818
Yaani binti wa 96 anakuzidi umri? Anyway hii JF kuna vijana wadogo sana kwa umri kumbeKwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.