Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

at 19 years unakunywa pombe n bangi ??/Asee wazazi wako wakogo wapi wanakupoteza

Wenzako at 19 tuko vyuo vikuu tunasaka degrees wewe uko bize na bangi asee😂😂😂 kwakweli tunatofautiana vipaumbele

Anyway badilisha marafiki huko mnakoelekea sio kuzuri, starehe gharama
 
Dogo anaomba ushauri kama aanze kuvuta bangi na kunywa pombe
Mm sipendagi kunywa pombe wala kuvuta sigara, yani hizo vitu sio starehe yangu kabisa, namshauri asinywe pombe na asivute sigara, kama anakunywa anywe, kwa kiasi, asinywe hadi akalala barabarani, na sigara avute kwa kiasi Demi
 
Palina toto la kipareee[emoji23] nakuona....
 
Kwanza kama wewe ni kijana wa miaka 19 unafanya nini kwenye huu mtandao! Huu sio mtandao wa watoto. Umri wa miaka 19-26 ni umri wa masomo hivyo tafuta walimu wa kuongea nao kwa matatatizo yako na wataalamu wa afya. Ni lazima uongee wa watu wazima waelewaji. Tatu ingawa sheria zinaruhusu kunywa Pombe inatakiwa kuanzia miaka 21 kwa nchi nyingi na ndiyo maana unapata matatizo kwasababu kwa umri huo hutakiwi kunywa pombe kabisa. lakini cha mwisho kaongee na wazazi wako au wajomba, baba wadogo...mashangazi
 
Mm sipendagi kunywa pombe wala kuvuta sigara, yani hizo vitu sio starehe yangu kabisa, namshauri asinywe pombe na asivute sigara, kama anakunywa anywe, kwa kiasi, asinywe hadi akalala barabarani, na sigara avute kwa kiasi Demi
Na kulamba tigo??[emoji23]
 
Mm sipendagi kunywa pombe wala kuvuta sigara, yani hizo vitu sio starehe yangu kabisa, namshauri asinywe pombe na asivute sigara, kama anakunywa anywe, kwa kiasi, asinywe hadi akalala barabarani, na sigara avute kwa kiasi Demi
Sigara asivute kabisa.
Kauliza kuhusu bangi. Ana miaka 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…