Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
SawaBiashara ya uwakala sikushauri, gawio kiduchu sana.
Shukran3..deal👍
Banda la chips pasua kichwa, inventories nyingi tena makorokoro madogo madogo. Usimamizi mkali na mauzo yanaweza onekana ila faida ikakosa au ukawa unajipunja kipimo. Kwanza mwanamke na biashara ya chips utatumia nguvu nyingi kwa huo mtaji.1-
UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2-
Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3-
Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Nianze kwa kukutakia kila la heri. Naona kama hizi biashara ni common sana kwa Dar, hivyo basi unatakiwa upate location nzuri sana. Ukishindwa kupata location nzuri basi jaribu kutafuta biashara nyingine.1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Mawazo yako ni kama yangu. Hizi biashara zinafanywa na watu wengi sana na ni wengi wanakwama kwa sababu location nzuri karibu zote zina watu. Angejaribu kufikiria kitu kingine ambacho watu wengi hawafanyi. Kama ana utaalamu mzuri kwenye kuchagua viatu na mavazi (hasa ya kike) anaweza kujaribu kuweka goli sehemu.Banda la chips pasua kichwa, inventories nyingi tena makorokoro madogo madogo. Usimamizi mkali na mauzo yanaweza onekana ila faida ikakosa au ukawa unajipunja kipimo. Kwanza mwanamke na biashara ya chips utatumia nguvu nyingi kwa huo mtaji.
Hiyo ya transactions huwa naona ni ya kukuzia awareness tu kama una biashara nyingine hapohapo. As long as hulipi kodi kuanzisha hiyo biashara, otherwise gharama za uendeshaji ni kubwa huku faida ni kidogo na chances za hasara ni kubwa hasa kwa unayeanza. Ukiitaka hiyo uwe na uwakala wa mabenki pia.
Hiyo ya maziwa angalau. Ila zote tatu zinategemea location zaidi. Location ni muhimu kuliko maelezo
AhsanteNianze kwa kukutakia kila la heri. Naona kama hizi biashara ni common sana kwa Dar, hivyo basi unatakiwa upate location nzuri sana. Ukishindwa kupata location nzuri basi jaribu kutafuta biashara nyingine.