Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

Daaah sijui nisemeje ila nipo tayari kukupa sapport kwa kazi zote ulizo orodhesha hapo maana nishawahi kufanya.

Hivo ukianza tu kama utahitaji kijana ambaye mwaminifu na anajitambua nipo hapa na nitafanya kwa ubunifu wa hali ya juu aisee.

Sapport pia kwenye capital ipo ila tu kama location ikawa nzuri nipo tayari kabisa
Wewe tena mdogo angu unataka kufanya kazi au kwenda kupata nafuu ya maisha kwa mwanamke wa mithali??
Wewe tunakujua unapenda mashangazi 😂😂😂
Tafuta kazi uko uko dom
 
Wewe tena mdogo angu unataka kufanya kazi au kwenda kupata nafuu ya maisha kwa mwanamke wa mithali??
Wewe tunakujua unapenda mashangazi 😂😂😂
Tafuta kazi uko uko dom
Khaaa sis huyo sio shangazi sasa..

Mi nataka tukasaidiane tuu kwani kuna shida 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Hata nikipata unafuu sawa tuu
Au unafurah navyoteseka huku dom sis
 
Kinafika soon..
Alafu nimegundua kitu hata nikileta huwa hamsemi kama imefika au laa mi hapo hata moyo wa kutuma tena nakosa 😂😂😂😂
Wewe liongo umetuma lini?? 😂😂😂
Unatoa ahadi hewa au pesa huna? Useme tukutumie ufanye deriver dogo.!
Na ikiwa nzuri tunakuagiza kwa group, biashara sio mpk uende China hata wine za dom zinaweza kukutoa..!!
 
Sis tuongee vizuri sasa nijue unanitoaje et 😂😂😂😂😂
Hapo ndo nakukubali an..

Pesa hakuna ndio we tuma ili kesho by tisa hivi mzigo uwe ushafika 😋😋😋😋😋
 
Wewe liongo umetuma lini?? 😂😂😂
Unatoa ahadi hewa au pesa huna? Useme tukutumie ufanye deriver dogo.!
Na ikiwa nzuri tunakuagiza kwa group, biashara sio mpk uende China hata wine za dom zinaweza kukutoa..!!
B4222F2F-6173-4ED6-8F56-0C46078FE43C.jpeg

4C30BB91-BCFD-47B1-A8D7-A3A8FFC09197.jpeg

Karibu tajiri...
 
Mawazo yako ni kama yangu. Hizi biashara zinafanywa na watu wengi sana na ni wengi wanakwama kwa sababu location nzuri karibu zote zina watu. Angejaribu kufikiria kitu kingine ambacho watu wengi hawafanyi. Kama ana utaalamu mzuri kwenye kuchagua viatu na mavazi (hasa ya kike) anaweza kujaribu kuweka goli sehemu.
Hizi biashara hazitomlipa sababu ya mtaji wake. Mfano location nzuri ya kuweka transactions unakuta inalipiwa kodi sio chini ya 150,000 kwa mwezi na unalipia miezi sita na ya udalali hapo.

Hiyo ni 1M imekata. Hujaweka zile meza ndani na vioo na mashine za mabenki ambazo zinalipiwa hadi 1M kwa CRDB na NMB. Then ndio uje kwenye float.

Ila kati ya zote maziwa angalau
 
Biashara ya uwakala inaenda kufa au? Mboni watu wanaipiga madongo sana?
Sio kama inakufa ila ishakuwa kama duka la mangi kila mwenye milioni mbili tatu anakimbilia humo. Wenye mitandao wanachofanya ni kupunguza commission tu.

Imagine kuzungusha million 3 halafu upate laki na nusu kwa mwezi hujalipa pango wala mshahara wa mhudumu.
 
Back
Top Bottom