Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
- Thread starter
- #21
Shukranhiyo namba moja futa kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukranhiyo namba moja futa kichwani
ShukranIshi na namba 3... Hafu unaweza jumlisha na namba 2 kidogo kdoogo... achana na mpesa
Shukran mkuu 😁😁Daaah sijui nisemeje ila nipo tayari kukupa sapport kwa kazi zote ulizo orodhesha hapo maana nishawahi kufanya.
Hivo ukianza tu kama utahitaji kijana ambaye mwaminifu na anajitambua nipo hapa na nitafanya kwa ubunifu wa hali ya juu aisee.
Sapport pia kwenye capital ipo ila tu kama location ikawa nzuri nipo tayari kabisa
Shukran2, Ukitulia hapo pana manufaa sana
Kama IPO nzur Zaid tafadhali shareKwakua umelimit hizo ideas tatu then mi nasema stick na ya tatu
Shukran mkuuMawazo yako ni kama yangu. Hizi biashara zinafanywa na watu wengi sana na ni wengi wanakwama kwa sababu location nzuri karibu zote zina watu. Angejaribu kufikiria kitu kingine ambacho watu wengi hawafanyi. Kama ana utaalamu mzuri kwenye kuchagua viatu na mavazi (hasa ya kike) anaweza kujaribu kuweka goli sehemu.
Ahsante sanaBanda la chips pasua kichwa, inventories nyingi tena makorokoro madogo madogo. Usimamizi mkali na mauzo yanaweza onekana ila faida ikakosa au ukawa unajipunja kipimo. Kwanza mwanamke na biashara ya chips utatumia nguvu nyingi kwa huo mtaji.
Hiyo ya transactions huwa naona ni ya kukuzia awareness tu kama una biashara nyingine hapohapo. As long as hulipi kodi kuanzisha hiyo biashara, otherwise gharama za uendeshaji ni kubwa huku faida ni kidogo na chances za hasara ni kubwa hasa kwa unayeanza. Ukiitaka hiyo uwe na uwakala wa mabenki pia.
Hiyo ya maziwa angalau. Ila zote tatu zinategemea location zaidi. Location ni muhimu kuliko maelezo
Auze uchumi gani tena?Uza uchumi
HahahaRudia kufanya ulichofanya kupata hizo 3M.
Biashara ya uwakala inaenda kufa au? Mboni watu wanaipiga madongo sana?achana na mpesa
Wa CHINIAuze uchumi gani tena?View attachment 2994097
Mboni mawakala wa M-Pesa hawafungi vibanda km hailipi? Fafanuahiyo namba moja futa kichwani
Kuanza ngumu, ila ikikolea tamu.Biashara ya uwakala inaenda kufa au? Mboni watu wanaipiga madongo sana?
Mchawi kuanza. Mtoa huduma alieanza leo analipwa commission tofauti na alieanza miaka 10 iliopita ata kama kwa siku wametoa huduma sawa.Mboni mawakala wa M-Pesa hawafungi vibanda km hailipi? Fafanua
Wadau wanapiga hela mbaya sana nashangaa nyingi mnaipiga mawe wakati watu wanaishi nayo km Full Time Job na wanalisha na kusomesha FamiliaKuanza ngumu, ila ikikolea tamu.
Kubababek kumbe uchawi ndio ulipo hapo?Mchawi kuanza. Mtoa huduma alieanza leo analipwa commission tofauti na alieanza miaka 10 iliopita ata kama kwa siku wametoa huduma sawa.
Ndio maana kuna watu wana "risk" wananunuaga laini za uwakala.Kubababek kumbe uchawi ndio ulipo hapo?