Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

Nimepitia Ushauri mwingi wamekushauri Biashara ya chipsi nimeshtuka sana.

Yaani ni kama taifa linaangamia hasa vijana wa kiume kwa kula chips.

Sasa itafikia maala vilio kwenye ndoa kwamba wazee wanashindwa Kazi kwa kuendekeza chips. Chips siyo nzuri kwa wanaume ni hatari sana.
Tafuta pesa mkuu chips haimaliz nguvu za kiume
 
Attachments

  • IMG20230720133022.jpg
    IMG20230720133022.jpg
    2.6 MB · Views: 3
U
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa

2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh

3: Banda la chipsi + vinywaji

ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU

(300,000)
Uwakala
*Advantage
Inalipa, ila huo mtaji ni mdogo labda ukiwa unakopwa na super agents
*High Risk
Unaweza poteza mtaji na maisha, inabidi kua makini sana.

Maziwa
*Advantage
Hii inalipa zaidi, huo mtaji unatosha, hii biashara inahitaji hue tu mpambanaji sana, kazi hua ni kupata basement & trust ya wateja, ukiwa msafi mcheshi na joiner mzuri, bas hutokosa tender kwa wauzaji wadogo, pia kwa wateja wa mahotel na watengeneza keki end etc utafurahi.

Risk
Uhaba wa maziwa kipindi cha kiangazi so kupoteza trust ya wateja iko nje nje maana wenye ng’ombe huanza kufanya uhuni ili wapate faida so kwa uchache wa maziwa unaweza letewa mabaya ukapoteza trust.

Chips
Hii iko poa, mtaji unatosha, hii baishara hua iko based na ubunifu wako, ukiwa mbunifu utatengeneza faida zaidi ya 300k, kikubwa usiweke mambo mengi, zingatia bei iwe kawaida ila huduma uwe fasta na kama wewe mwanamke jitahidi we ndo hue muhudumu, tafuta team yako ya vijana wakukata hadi kuchoma ila wew simama kama muhudumu ili utengeneze connection na wateja wako pia upate feedback direct za wateja ili hue unajua kirahisi wapi pakurekebisha.

RISK
Kipindi cha mwanzo kutokua na basement ya wateja so utakula sana chips zako na vijana watakukimbia sana mwanzo ila ukishanza kuvuta wateja utashangaa ela za vikoba zitskua nje nje

UKIWA UNATABASAMU, SIO MVIVU, UKAPENDA KAZI YAKO, UKAWAPENDA WATEJA WAKO IZO KAZI ZOTE HAPO ZINARIPA ILA KUBALI KUA UNAJIFUNZA KILA SIKU.
 
Nina mwaka wa 5 kwenye hii kazi ya tigo pesa naijua vizuri sana kama hutojali nifate pm nikupe uzoefu ila usihofie mitongozo(utani)
 
Lile wazo lakwanza kukujia kichwani kati ya hayo matatu anza nayo
Sawa kabisa....wengi wanatakaga ushauri kwenye vitu nyeti kama hivi ikiwa asilimia kubwa ya watu humu hawajui hata maana ya biashara sana sana watakudicourage tu ...ukitaka ufanye uchunguzi basi ingia field kwa wanaofanya hivi vitu wapo ambao watakataa kutoa ushirikiano basi endelea kutafta mpaka upate yule atakayekupa ushirikiano wa wewe kujifunza then baada ya hapo utaona nini ni bora zaidi ...na usiinvest the whole capital anza mdogo mdogo uone inflows na outflows za hizo biashara kwanza huku ukizid kuongeza mtaji
 
U

Uwakala
*Advantage
Inalipa, ila huo mtaji ni mdogo labda ukiwa unakopwa na super agents
*High Risk
Unaweza poteza mtaji na maisha, inabidi kua makini sana.

Maziwa
*Advantage
Hii inalipa zaidi, huo mtaji unatosha, hii biashara inahitaji hue tu mpambanaji sana, kazi hua ni kupata basement & trust ya wateja, ukiwa msafi mcheshi na joiner mzuri, bas hutokosa tender kwa wauzaji wadogo, pia kwa wateja wa mahotel na watengeneza keki end etc utafurahi.

Risk
Uhaba wa maziwa kipindi cha kiangazi so kupoteza trust ya wateja iko nje nje maana wenye ng’ombe huanza kufanya uhuni ili wapate faida so kwa uchache wa maziwa unaweza letewa mabaya ukapoteza trust.

Chips
Hii iko poa, mtaji unatosha, hii baishara hua iko based na ubunifu wako, ukiwa mbunifu utatengeneza faida zaidi ya 300k, kikubwa usiweke mambo mengi, zingatia bei iwe kawaida ila huduma uwe fasta na kama wewe mwanamke jitahidi we ndo hue muhudumu, tafuta team yako ya vijana wakukata hadi kuchoma ila wew simama kama muhudumu ili utengeneze connection na wateja wako pia upate feedback direct za wateja ili hue unajua kirahisi wapi pakurekebisha.

RISK
Kipindi cha mwanzo kutokua na basement ya wateja so utakula sana chips zako na vijana watakukimbia sana mwanzo ila ukishanza kuvuta wateja utashangaa ela za vikoba zitskua nje nje

UKIWA UNATABASAMU, SIO MVIVU, UKAPENDA KAZI YAKO, UKAWAPENDA WATEJA WAKO IZO KAZI ZOTE HAPO ZINARIPA ILA KUBALI KUA UNAJIFUNZA KILA SIKU.
Nice ....angalau umefafanua vzuri mkuu ...nafkir mhusika atapata kitu hapa.
 
Dogo kama yuko Dar na hio hela, ningemshauri afanye kazi ambazo hazitaki capital investment, issue za cargo transportation, akiji position vizuri Jangwani au kariakoo, atapiga sana hela na almost hakuna cha maana atakachowekeza. Zipo kazi nyingi zinazotaka mtu aweze tu kuamka mapema na kuchelewa kulala ila pesa anapiga za maana sana.
Cargo pia ni gharama mkuu issue ya eneo na bima. Lazima uwe na capital ya kutosha.
 
Pale Jangwani wapo watu na vibanda vidogo sana kama store na wanapokea mizigo, wanatafuta roli zinazorudi mkoani wanaunganisha na hizi 20k -30k kwa siku haziwapigi chenga. Nimekaa sana jangwani pale na nikaona ni biashara isiyotaka mambo mengi zaidi ya upambanaji tu. Ukitaka ujaze fuso zima peke yako ndo mtihani sasa maana formalities lazima ziingie.
 
Kwa hiyo mkuu unakuwa una store mizigo ya watu
 
Pale Jangwani wapo watu na vibanda vidogo sana kama store na wanapokea mizigo, wanatafuta roli zinazorudi mkoani wanaunganisha na hizi 20k -30k kwa siku haziwapigi chenga. Nimekaa sana jangwani pale na nikaona ni biashara isiyotaka mambo mengi zaidi ya upambanaji tu. Ukitaka ujaze fuso zima peke yako ndo mtihani sasa maana formalities lazima ziingie.
iyo sasa sio biashara maana ni kama udalali fulani so hutegemei kukua hapo ni kupata hela ya kula tu.
 
Biashara ya uwakala sikushauri, gawio kiduchu sana.
Ngumu sana juzi nilicheki kamisheni yangu ilikuwa inasoma 370000 majanga nimechek Leo inasoma 162000 nimeasiliana nao et wananambia nimefanya miamala feki,nimewachukia sana voda
 
iyo sasa sio biashara maana ni kama udalali fulani so hutegemei kukua hapo ni kupata hela ya kula tu.
Mzee, kwa million 2 unadhani atafanya biashara gani ya kumpa faida ya 20k to 30k kwa siku hapo dar..?? Angalau afanye huo unaouita udalali lakini risk free alafu anapata knowledge kubwa ya sekta ya usafirishaji kwa matumizi ya badae.

Wapo watu saivi ni administrators wa cargo fleet kwenye logistics company mbalimbali waliotokea jangwani. Wapo na wamiliki wakubwa wa Cargo Transportation saivi hapa mjini waliotokea Jangwani kwenye hicho unachokiita udalali.

Hata udalali ni kazi mzee kuliko ajichanganye na hiko ki 2M chake kiende na maji.
 
Mzee hii kitu inabidi nikutafute unipe madini, nipoke mzee.
Mzee, kwa million 2 unadhani atafanya biashara gani ya kumpa faida ya 20k to 30k kwa siku hapo dar..?? Angalau afanye huo unaouita udalali lakini risk free alafu anapata knowledge kubwa ya sekta ya usafirishaji kwa matumizi ya badae. Wapo watu saivi ni administrators wa cargo fleet kwenye logistics company mbalimbali waliotokea jangwani. Wapo na wamiliki wakubwa wa Cargo Transportation saivi hapa mjini waliotokea Jangwani kwenye hicho unachokiita udalali. Hata udalali ni kazi mzee kuliko ajichanganye na hiko ki 2M chake kiende na maji.
 
Back
Top Bottom