Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Huyu dada anavyoongea inaonesha kabisa yuko na The Princess Complex, and She's So Entitled, kutokana na mvuto wake. Bahati mbaya amekutana na mwanaume ambaye hajamshobokea kama wajinga-wajinga wengine, hilo limemuumiza kichwa mpaka sasa.

"Eti, nilimpa chance lakini hakuitumia" Yeye ni nani kwenye hii dunia hadi aombwe namba na kila mwanaume ?
Umri wa Mwanamke unaposogea Mayai yake yanapoteza ubora kwa hio hilo hua kuna wakati linawaumiza sana kichwa
 
Kiufupi mwamba hakuomba namba kwasababu alifahamu, " A juice is not worth the squeeze"
Alafu huyu mdada ukimuangalia meno yake ni wale wanawake wezi kutoka mkoa uleee! Myanamike mijizi itasubiri saana! Tumewashtukia
 
Mwanaume kakuuliza jina, kauliza kazi anayofanya, kapiga stori mbili tatu na wewe, halafu hajakuomba namba lazima kuna kitu amekiona kwa huyo mwanamke. Inaweza kuwa alivyoongea naye tu na kufahamu kazi anayofanya, au hulka ya mwanamke akaamua kupotezea. Hata mimi huwa nafanya hivyo, nikiona mwanamke mizinguo.
 
Nipe hiyo wa miaka 25 kamanda nijitafunie
Nina videmu kama 2 vilivyomaliza chuo, najilia tu..

Nina kidemu 1st year, kinaililia daily...

Kuna mwingine 25yrs ananiomba daily nimtafutie mtu...

Kwa kifupi, mtaani vijana wa kiume hawatongozi kabisaaaa, hali ni tetee..

Hapo ni kwa kifupi tu, ila nikileta lists ya vidada vinavyoteseka na u single ni ndefu mnoo
 
Umri wa Mwanamke unaposogea Mayai yake yanapoteza ubora kwa hio hilo hua kuna wakati linawaumiza sana kichwa
Huyu manzi wala siyo mkubwa kivileee, sema tu inaonesha ana zile tabiza za kupenda Entitlement, worship me, put me on a pedestal. Atakuwa anatoka Kaskazini huyu, lazima. Mamanzi wengi wa Kaskazini hizi ndiyo pigo zao.
 
Ogapa hio kitu inaitwa Mchezo sijui Marejesho sijui ndugu yake na Vicoba na Vikundi vya Kufa na Kuzikana
Halafu hivi vikundi vya kufa na kuzikana vimekuwa kero katika jamii, wakati mwingine namuuliza wife, umeingia huko kwa sababu unajua nitawahi kufa! Sababu najua mtu akifa awe kwenye kikundi asiwe kwenye kikundi jamii itazika tu.
 
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
hatuna maokoto mzee
bora maokoto yangu nile vizur kisha nikajishtakie kwa mkono
 
Tatizo wanawake hawajui nin wanaume tunahitaji.
Kwa zama hizi wanawake wana dress fake fake fake fake fake fake.

1.hivi wanaume tunavutiwa na wanawake wapaka makeup(fakeup)

2.wavaa mawigi

3.kucha bandia

4.makalio makubwa (out of shape) hakuna uwiano kati ya kiuno na makalio . Hivi nani kawadanganya
Unakuta jingine linakuwa kama sokwe sijui gorila
Sasa ma simp yanawajaza ujinga utasikia SFY.

Mimi nimeelewa hivi.
Wanacholalamika sio kwamba hawatongozwi , tatizo wanatongozwa na watu ambao hawavutiwi nao!

Sasa unakuta mdada yuko strong independent ana kila kitu niseme anajikuta anawavutia wazee waliojichokea wenye pesa kama yeye instead of young fine good lookn men.

Sasa wanaume tumeacha kuwa wanafiki
Labda ntajaribu kutingoza kama hivi.!
Wigi lako zuri!
Au niseme makeup imekukaa poa!
Your ass is fat, is it fake or real?
 
Leo nilikuwa somewhere kuna dada anabonge la tako alafu kavaa zile skin zao za mpira yaan nisawa hajavaa kitu tulikuwa tumekaa tunapiga story dada akajipitisha karibu kwaakili ya haraka nilijua watu watamuongelea yaan ndokwanza wanaume tunaongelea mishe zetu unaweza sema hajapita mtu aisee Wanaume wamebadilika kwa kasi sana sjui kimewakumba nini hawana habar kabsa na wanawake hali ni mbaya jamani dadazetu wanateseka saivi soko gumu siopoa
 
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Wanawake wamejirahisisha Sana siku hizi
 
Back
Top Bottom