Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Yes. Mimi ni introvert kabisaa pureee.Natumai hata Dr am 4 real PhD naye ni introvetiiiiiiii! Tiiiiiiii!
Yes. Mimi ni introvert kabisaa pureee.Natumai hata Dr am 4 real PhD naye ni introvetiiiiiiii! Tiiiiiiii!
Hadi chief godlove anajiita Introvert Music 😂😂😂🤣Atakuja kujibu mwenyewe,
Mimi siamini kwenye introvert wala madudu
Uko kama mimi mkuu 😀Yes. Mimi ni introvert kabisaa pureee.
Kaka mtu cool sanaa ,tukiwa meet utagunduaAtakuja kujibu mwenyewe,
Mimi siamini kwenye introvert wala madudu
Mimi fujo humu humu kwenye mikonoo 😅😂Uko kama mimi mkuu 😀
😊😊 Umemaliza Kila kituAnachojaribu kuelezea kipo hivi
Ukiwa Tanzania unabidi kufanya socialization ili kuendana na jamii .
Kwakuwa jamii ya Tanzania haina ufahamu mzuri wa haya mambo ile kuwa unapenda kukaa peke yako inaweza tafsiriwa Kama kujipenda, kiburi, ubinafsi n.k
Na ukiwa na uwezo wa kifedha inaweza pelelekea watu kutafsiri kuwa unalinga Sana .
Japo ili kuendana na kasi ya maisha hawa introvert hutumia teknolojia kuwasiliana na watu wao na kufanya Kazi
Naaaaaaam,, unaonekna mkuuKaka mtu cool sanaa ,tukiwa meet utagundua
Nkwela - shemejiNkwela wane tuta ongea vipi sasa kuhusu nkema wane😂
I'm sorry Baba buko, hili jina lina chekesha 😂😂.Nkwela - shemeji
Baba Būko - Baba mkwe
Mimi ni baba mkwe wako ala!
Pisi yako imeondoka tarehe 18 August kurudi masomoni John Hopkins. Itarudi tena na wenzake mwaka kesho majira ya Kiangazi.
Huku kwetu intovert ni wachache, wengi ni waoga kutokana na athari za mateso na kutokubaliwa utotoni.Kwenye hizi character huwa binafsi sijifahamu nipo upande upi🤔
Kesho ratiba ipojeeNaaaaaaam,, unaonekna mkuu
Kesho nipo around Kigamboni..... Ila nina schedule na bruh... Sijajua muda Ila ni Kigamboni hii hii,,Kesho ratiba ipojee
Akipanda daladala atakereka sana na kelele za kwenye daladala kuanzia radio mpaka konda na wakati mwingine hadi abiria wanapiga keleleNina fikiria wengi hatuelewa maana ya kuwa introvert
Kuwa introvert hamzuii mtu kupanda
Daladala ,, maana unaweza panda daladala na wala usionger ja yeyeto yule..
TutazungumzaaKesho nipo around Kigamboni..... Ila nina schedule na bruh... Sijajua muda Ila ni Kigamboni hii hii,,
SahihiHapana, ukiingia katika maisha ya kawaida, introvert wanateseka sana sanaa maana maisha yetu wabongo ni ya kijamaa ambapo unatakiwa kujumuika na kuchangamana na watu ili uonekane ni mtu katika watu. Kinyume na hapo utaitwa unaringa, unajisikia, una roho mbaya, una matatizo ya akili ama kihisia etc..
Ndio maana introverts wakikutana mfano JF huwa wanafurahi kwa kupata sense of acceptance & belongingness ambayo kwenye maisha ya kawaida hawaipati
Wengi huwa wanaanza na story za Simba na YangaBongo mtu hakufahamu kakukuta sehemu umekaa anaanza kukuongelesha visivyoeleweka. Introvert africa impossible mission
Hizo ni haiba za kizungu...
Na research zao walifanyiwa wazungu...mimi na wewe hatumo.
Tabia zetu zinabadilika badilika kulingana na majira, hali ya maisha, watu wanaotuzunguka, nk
Inawezakanaje tabia za watu bilion 7 zigawanywe kwenye makundi manne tu.
Mimi zamani nilikuwa najua kwamba mabadiliko ya tabia nchi yanahusu mambo ya hali ya hewa, uoto wa asili nk kumbe nilikuwa nakosea.
Mabadiliko ya tabia nchi ni pamoja na watu.....huu ni uchawa nalo ni badiliko la Tabia-nchi...Tabia zetu huwezi kuzi-google