Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushindweeee!I'm sorry Baba buko, hili jina lina chekesha 😂😂.
Ume nikosea sana kuto niambia kama yupo, ninge mpa manumbu na mabele.
Jaribu tena next Summer!
Ushindweeee!I'm sorry Baba buko, hili jina lina chekesha 😂😂.
Ume nikosea sana kuto niambia kama yupo, ninge mpa manumbu na mabele.
Baba buko usi jali nita mkaangia ka mbuzi ka moja , just promise akija uta niambia.Ushindweeee!
Jaribu tena next Summer!
Mazingira ndiyo yana nafasi katika tabia, haiba na saikolojia ya mtu. Nature vs. Nurture.Kuna mambo tunajipendekeza tu ila ni tabia za wazungu na research zilifanyika kwao.
Kuna haja nasisi kuanza kuresearch tabia zetu.
safarini Khartoum Sudani.
Introvert anaweza kaa sehemu yenye kelele kama ndiyo option pekee iliyopo lakini hatochangia chochote atabaki kuwa msikilizaji tu ..Akipanda daladala atakereka sana na kelele za kwenye daladala kuanzia radio mpaka konda na wakati mwingine hadi abiria wanapiga kelele
Naaam ngoja nikatafute msosi,,Tutazungumzaa
Namalizia malizia konyagiiii kimtindo hapaNaaam ngoja nikatafute msosi,,
Na mimi nina tabia hiyo ila ninajitahidi sana ni badirikeKwanza unakuwa kero kwa jamii. Jamii inahitaji mwingiliano. Nilikuwa na dogo family friend alikuja kufanya field akakaa kwangu.
Kwangu ilikuwa kero sana, muda wote yupo chumbani, akitoka ni kuchukua chakula na kurudi room. Amekaa miezi 3 hana rafiki kabisa miongoni mwa wanafamilia wala hakuna jambo alilojifunza kutoka kwangu kuhusu maisha. Kero zaidi akiwa na shida ndogo hata ya dawa ya meno anampigia baba yake halafu baba yake ananipigia mimi kuniambia nimsaidie.
Nilivyo choka sina hata hamu na msosi nauachaNamalizia malizia konyagiiii kimtindo hapa
Iam a real introvert.Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa .
Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi.
Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako.
Ukija kwenye UPANDE wa biashara ,biashara zinakuhitaji kuwasiliana na wateja kila Leo , kufanya follow up , za Mara kwa mara mambo yote haya introvert anaona yanampatia ugumu , Ila unabidi ufanye ili mambo yaende.
Being introvert is not easy .
Oooh poleeeeNilivyo choka sina hata hamu na msosi nauacha
Introvert anaweza kaa sehemu yenye kelele kama ndiyo option pekee iliyopo lakini hatochangia chochote atabaki kuwa msikilizaji tu ..
Hivyo point yangu inarudi pale pale watz wengi wahajui maana ya introvert wengi wanaigixa kuwa hivyo
Dah!Wewe kama ni introvert halafu unakosa sifa zifuatazo, wherever you are...you are a deadman walking buddy!!!
Introvert unatakiwa uwe na sifa hizi tatu:
1) Uwe kipanga/akili nyingi.
2) Uwe na kipaji, a really talented fella.
3) Uwe na familia tajiri, familia inayojiweza.
Duh!Kumbe kuwa introvert hupandi daladala
Introverts wanaweza kupanda daladala, ila ni kero sana kwao.Kumbe kuwa introvert hupandi daladala
Basi majamaa wanateseka sanaIntroverts wanaweza kupanda daladala, ila ni kero sana kwao.
Umeshawahi kugombea usafiri mkongwe!?
Kuna baadhi ya route Dar inatakiwa ujichetua na kujitoa akili haswa ili uweze kupata seat.
Introverts wana kaaibu fulani hivi kaajabu!
Route ya Mbagala-Kawe (IF YOU KNOW YOU KNOW) inamtengenezea vidonda vya tumbo introvert, atakufa kabla ya wakati, inatakiwa anunue gari!!!
Kwa hiyo mwanetu Bongo bahati mbayaKwa Africa kuwa Introvert ni ngumu Sana. Labda ulaya. Mimi ni introvert ila watu wananichukulia kama sio mtu wa watu na ninajificha. Introvert mazingira kama Ulaya na Marekani inafaa Sana sio bongo.
Yote matatu uliyoandika sio kweli, ni myths tu.Wewe kama ni introvert halafu unakosa sifa zifuatazo, wherever you are...you are a deadman walking buddy!!!
Introvert unatakiwa uwe na sifa hizi tatu:
1) Uwe kipanga/akili nyingi.
2) Uwe na kipaji, a really talented fella.
3) Uwe na familia tajiri, familia inayojiweza.
No need to sugarcoat it, Kibongo bongo kuwa introvert ni hasara!
Wabongo wengi ni masikini, Bongo inatakiwa urambe miguu ya watu na upambane kwelikweli ili utoboe. Kwahiyo kama hauna hizo sifa tatu hapo juu na ni Introvert, UMEKWISHA!!!