Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

😊😊 Umemaliza Kila kitu
 
Nkwela - shemeji
Baba Būko - Baba mkwe

Mimi ni baba mkwe wako ala!

Pisi yako imeondoka tarehe 18 August kurudi masomoni John Hopkins. Itarudi tena na wenzake mwaka kesho majira ya Kiangazi.
I'm sorry Baba buko, hili jina lina chekesha 😂😂.

Ume nikosea sana kuto niambia kama yupo, ninge mpa manumbu na mabele.
 
Nina fikiria wengi hatuelewa maana ya kuwa introvert

Kuwa introvert hamzuii mtu kupanda
Daladala ,, maana unaweza panda daladala na wala usionger ja yeyeto yule..
Akipanda daladala atakereka sana na kelele za kwenye daladala kuanzia radio mpaka konda na wakati mwingine hadi abiria wanapiga kelele
 
Sahihi
 
Bongo mtu hakufahamu kakukuta sehemu umekaa anaanza kukuongelesha visivyoeleweka. Introvert africa impossible mission
Wengi huwa wanaanza na story za Simba na Yanga
 
Kwanza hata huko Marekani na Ulaya mambo ya extrovert na Introverts yameeleweka vizuri kuanzia 2000's
 

nimecheka sana aisee, uko sahihi kabisa mkuu hapo kwenye paragraph ya Kwanza.
Kuna mambo tunajipendekeza tu ila ni tabia za wazungu na research zilifanyika kwao.

Kuna haja nasisi kuanza kuresearch tabia zetu.

safarini Khartoum Sudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…