Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

Lissu alizuiwa?
 
Kurufisha fomu na kusindikizwa sio maandamano sababu hayazuii magari kupita kwenye barabara za magari

Lisu watu hana wa kumsindikiza kuchukus form au kutudisha yuko kama yatims n tatizo lake yeye huamini kwenye jeshi la mtu mmoja na yeye ndie hujiona ndiye jeshi lenyewe ndio maana kachukua form peke yake na kurudisha peke yake.Lisu ana ji overstate sana he is nobody asipobebwa

Na uchaguzi huu anaenda kubwagwa hatari

Wakati mbowe muumini wa taasisi sio one man show or one man army kama Lisu
 
maandamano ni haki na uhuru wa kila mTanzania,

maandamano ya vurugu, uharibifu na kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania hayakubaliki
 
Mtu wa system amkatalie Boss wake Magufuli vyeo vikuu?

Hakuna cheo alichoahidiwa andanganya. Eti amehaidiwa cheo chochote kile. Aliyeahidiwa cheo ni Lissu Cha uanasheria mkuu Tena Magufuli alisema hadharani kwenye kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…