Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

Labda kwa huo upande…

Maana huku siku boss akiambiwa amchomeke mtoto wa shangazi yake basi ni anasakwa mtu wa kunyofolewa [emoji854]
Hadi hapo nadhani umepata jibu

Serikali wengi wanakimbilia kwa sababu ya job security

Sio kwamba hakuna asiyependa mshahara mkubwa watu wanapenda sana maslahi na kama ilivyo mshahara haujawahi tosha

So unakuta hauna jinsi
 
Yeah kwa mtu anayependa kusoma sana hiyo imekaa vizuri maana kusoma sana nacho ni kipaji
 
Acha uongo
 
Bipolar
 
Mkuu umepiga hatua haraka haraka Sana,Mungu amekunyanyua Sana Maana miaka kadhaa iliyopita Hali ilikua Tete Ila Sasa hivi Naona unachezea kwny Tsh. mid-seven hongera sana boss.
 
Unataka kuishi kwenye comfort zone ni tatizo kubwa sana la waafrika na watanzania
 
Kusanya mtaji ukafanye mambo yako kwenye academics napo hakuna urahisi unaofikiri......kwanza ni sababu serikali imelala ila wakiamua kufuata miongozo watu wafanye research hakuna hiyo free time unayoisema.
Ongeza na teaching load ilivyo kubwa utazunguka na booklet mpk ukome.
Halafu hamna hela kiviile utatoka kwa tabu sana.
Angalia madaktari wengi waliokufundisha Wana lipi la ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…