Naona nikienda kuwa academician, nimechoka ajira kwenye private sector

Itabd mkuu aweke salary slip hapa watu waamini
Mkuu tusimbishir it's possible. Nina very close friends of mine mmoja alipata kazi alitoka serikalini na mshahara wa laki saba akaenda kuanza na mshahara wa milioni 4.2 kwenye NGO.. Mwingine alitoka kwenye NGO moja na salary ya 3M a kapata kazi akaanza kunja 7.8M per month... Hawa nina ushahidi kabisa....
 
Haya Maisha jamaa aliyenayo kwenye academics atapoteza Sana.
Kwa nini utoke kwenye kazi uende ulipwe nusu? Anasema miaka mitatu ijayo atalupewa mil 6, kwenye academics nani analipwa hiyo kama si full professors Sasa lini atakuwa professor?
Akomae huko apate hela apite zake afanye mambo mengine.
 
Huenda kawa misled maana machapisho naona wenye phd ndio hufanyaga zaidi
 
Mleta mada fuata hiko kinachokuambia nafsini uwe academician huko private ni pasua kichwa haswa pale meza inapopinduka juu chini.
 
Ukiingia private fanya kama unastaafu mwisho wa mkataba wako. Weka hela sehemu itakayokuzalishia mwisho wa mkataba. Ukisaini mkataba mpya panua uwekezaji.

Ukiwa serikalini sahau professional yako. Jifunze neno MKUU, kubali u-chawa, majungu na kukopa bank.

Ukiwa academician ni kama wanawake wa uswahilini kushindana kununua magari, kutafuna mabinti baada ya kuwatishia kuwakamata, kujigamba darasani ulivyotoka safari ya nje ya nchi, kutembea kwa mikogo utadhani chuo ni chako, kuomba kuongezewa muda wa kufundisha baada ya kustafishwa.

Conclusion: fainali ya uzeeni inawapiga Sana wa serikalini.
 
Unatushauri nn sie wenye gpa below na required (3.5) ambao tunatamani tuingie uko kwenye kufundisha? Tukapige masters tutoke na gpa above 4? au tukapige digrii nyingine tutafute above 3.5?
 
Sio mbaya mkuu,uzuri uzoefu angalau unao.View attachment 2285068
Maskini ya Mungu... umenikumbusha mbali mkuu.. Yap nilikuwa jobless.. Ngoja nikupe mchapo baada ya hapo ilikuwaje.

Mwezi wa 11 mwaka huo huo nilipata kazi ya laki saba kwa mwezi. Mpaka mwaka 2020 mshahara ulipanda na ukawa unacheza kwenye 2,600,000 mwaka jana mwezi wa sita nikaotea mchongo kwenye kampuni ingine kwa salary ya 4,100,000 ndo mana nikakuambia baada ya miaka miwili ntakuwepo kwenye milioni 7..

Nilipitia Magumu ndio ila sikukata tamaa mkuu.. Endelea kufukua makaburi
 
Wamekariri maisha.... yaani mtu anajua kuanzia mwaka 2016 mpaka leo ni miaka 6 imepita kwamba bado ntakuwa broke? JF member itabidi tuache mindset za kimaskini... kwambq mtu umeona milioni 7 sijui 4 ni mshahara wa maana
 
Unatushauri nn sie wenye gpa below na required (3.5) ambao tunatamani tuingie uko kwenye kufundisha? Tukapige masters tutoke na gpa above 4? au tukapige digrii nyingine tutafute above 3.5?
Daaah sema hapo vigezo sasa walivoweka.. labda private universities huwa wana relax conditions za GPA ila vyuo vya serikali naona wapo static kwenye GPA
 
Bora tu uende huko serikarini prvt sector aiseeee stress hapana ,bora upate kidogo lkn with less/no stress kuliko kupata kingi na mateso ya stress hata hizo pesa hutozifaidi yani.
kabisa mkuu.. lakini mimi na target serikalini ila iwe chuo kikuuu cha serikali. Ofisi ys kawaida serikalini sitaki
 
Fainali uzeeni itampiga yeyote yule ambaye hana discpline ya maisha
 
Umenena mule mule..academicians wengi ndio tabia zao hizo.



#MaendeleoHayanaChama
 
Huenda kawa misled maana machapisho naona wenye phd ndio hufanyaga zaidi
Hamna mkuu research ni passion ya mtu na mimi nimejipima nnayo. Hakuna rule kwamba ukiwa na PhD ndo ufanye publication. Hata ukiwa na Bachelor unaweza fanya publication.

Issue unakuja kwamba, ili upate hizo opportunities za kuandika proposal, clients wengi huwa wanatafuta PhD holders kwa sababu ya experience ya kufanya research.

Ila sasa, PhD holders huwa research wanachaachia Masters wazifanya kuanzia kwenye data collection na hapo ndipo vijana wenye Masters na wao wanatengeneza pesa
 
Ni maisha tu mkuu.. Mimi nafuata zaidi falsafa za kistoicism ambayo msingi mkubwa wanakuambia hakikisha kazi unayoifanya kwenye maisha yako isipishane sana na kitu unachokipenda.

Inaitwa "Living with Arete"
 
Mkuu

Kula wanafunzi nimeisema kama joke tu..

Naona upo deep and comfortable zaidi kwenye environment ya kuajiriwa....

Hiyo consulting firm usipoangalia itakua ni extension ya your ajira and not a real bankable self driven business....

Lakini sawa....follow your passion man...na infact utapata success
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…