[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]no please mkataba haukuwa kufundishana mitandaoni!!! kuna chakula kinakuweko kwenye ada walikula mtaandaoni?kuna boarding cost walilala mtandaoni wa shule?nk
Mbona tayari wizara imetoa waraka kwa mashule kiongozi.Tatizo wizara haijuwi kutoa mwelekeo baada ya janga la corona nini kifuate.Waziri na team yake wako wapi?
Kwani unalipia muhula au sylabus ya mwaka. Ningeelewa ikiwa watapunguza ada ya hostel lakin sio masomo kwani mwalim lazima amalize sylabusNdugu Mzazi/Mlezi;
*Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:-
1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-
● Kiwango cha Ada ya awamu ya Pili(Mwezi March) ni Sh.500,000/= badala ya Sh.600,000/= hapo mwanzo.
●Awamu ya Tatu(Mwezi June) ni Sh.500,000/=
●Awamu ya Nne(Mwezi septemba) ni Sh. 500,000/=
● *Baada ya punguzo hilo, Jumla ya Ada kwa Mwaka huu itakuwa 2,500,000/= Badala ya 2,600,000/= hapo kabla.*
2. Mara tu Mwanafunzi atakaporipoti atatakiwa kulipa kiasi cha Tsh. 1,000,000/= (ambayo ni mjumuisho wa awamu ya Pili na ya Tatu kama ilivyoainishwa hapo juu)👆
●Ili uendeshaji wa Shule uende ipasavyo, mwanafunzi anatakiwa alipe kiasi chote cha Sh. 1,000,000/= (milioni moja) kabla ya siku ya kuripoti shuleni.
3. Kwa wanafunzi wanaodaiwa ada ya awamu ya kwanza wanatakiwa kukamilisha kiasi chote cha deni hilo pamoja na Malipo ya Awamu ya Pili na ya Tatu Sh.1,000,000/=
6. Wanafunzi wote wasiolipia BIMA YA AFYA TSH. 50,400/= wanakumbushwa kulipia katika akaunti za Shule na kukabidhi risiti hiyo kwa Muhasibu ili asajiliwe na kuweza kupata huduma ipasavyo.
Tunawaomba wazazi/walezi kukamilisha Malipo kama yalivyoelekezwa na Uongozi wa Shule ili kufikia Malengo yetu kwa pamoja.
N:B. Malipo yote yafanyike kupitia Akaunti za shule:-
AMANA BANK
Acc Name: IBN JAZAR ENGLISH MEDIUM SCHOOL
Acc No: 001120310750001
KCB BANK
Acc Name: IBUN JAZAR ISLAMIC ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOL
Acc No: 3300618819
NBC BANK

Acc No: 048132000088
Kwa maelekezo zaidi:
0658514451 Mkuu wa Shule
0659907513 Muhasibu.
Shukran
We mbona unakua mpuuzi huoni kwamba ratiba imebadilika na siku zilizopotea wamezifidia ili kuwawezesha wanafunzi kucover syllabus zao?Huu ni wizi outright.Huwezi kutoa punguzo la100,000 tu wakati mtoto hakulala,hakutumia maji,hakutumia umeme nk.Kwanza mwaka huu ideally ada ya mwaka inatakiwa ipunguzwe kwa at least robo,au ideally kuwe na dialogue kati ya wazazi na wamiliki wa shule wapate muafaka wa pamoja.Shule haziweze kutoa matamko tu,kwani wao ni akina nani,miungu?That is wrong.Hapa ni lazima serikali itumie mamlaka yake.Mmiliki asiyetaka kufuata haki anyang'anywe leseni.
Taratibu kiongozi hawa watu tuwaeleweshe kwa upole[emoji16]We mbona unakua mpuuzi huoni kwamba ratiba imebadilika na siku zilizopotea wamezifidia ili kuwawezesha wanafunzi kucover syllabus zao?
Hahahaha halafu baadae anajitokeza na kupiga mkwaraAnasubiri Rais Magufuli aongelee hili kwanza!
Kwa nini wamiliki wa shule kwanza wawe na maamuzi ya mwisho,this in itself is wrong.Kunatakiwa kuwe na concesus ya wazazi na shule.And then watoto wa Form II watakaa miezi 7,na watoto wa madarasa mengine miezi nane,how do say ni muda ulele.Acheni wizi.Lazima ada ipungue by 25%!Na tutahakisha haki inatendeka,hamuwezi kuibia wazazi.Msivalie shida viroba.We mbona unakua mpuuzi huoni kwamba ratiba imebadilika na siku zilizopotea wamezifidia ili kuwawezesha wanafunzi kucover syllabus zao?
Bei ya chakula,maji,umeme,malazi haina budi kupungua mkuu,mtang'aniaje,mbona hii iko wazi.Hizo ni roho za wizi.Kwani unalipia muhula au sylabus ya mwaka. Ningeelewa ikiwa watapunguza ada ya hostel lakin sio masomo kwani mwalim lazima amalize sylabus
Umejua mwanao atakaa kwa muda gani shuleni?Bei ya chakula,maji,umeme,malazi haina budi kupungua mkuu,mtang'aniaje,mbona hii iko wazi.Hizo ni roho za wizi.
Weka wazi wizi upo wapi? Ili usaidiweKwa nini wamiliki wa shule kwanza wawe na maamuzi ya mwisho,this in itself is wrong.Kunatakiwa kuwe na concesus ya wazazi na shule.And then watoto wa Form II watakaa miezi 7,na watoto wa madarasa mengine miezi nane,how do say ni muda ulele.Acheni wizi.Lazima ada ipungue by 25%!Na tutahakisha haki inatendeka,hamuwezi kuibia wazazi.Msivalie shida viroba.
Ndugu Mzazi/Mlezi;
*Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:-
1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-
● Kiwango cha Ada ya awamu ya Pili(Mwezi March) ni Sh.500,000/= badala ya Sh.600,000/= hapo mwanzo.
●Awamu ya Tatu(Mwezi June) ni Sh.500,000/=
●Awamu ya Nne(Mwezi septemba) ni Sh. 500,000/=
● *Baada ya punguzo hilo, Jumla ya Ada kwa Mwaka huu itakuwa 2,500,000/= Badala ya 2,600,000/= hapo kabla.*
2. Mara tu Mwanafunzi atakaporipoti atatakiwa kulipa kiasi cha Tsh. 1,000,000/= (ambayo ni mjumuisho wa awamu ya Pili na ya Tatu kama ilivyoainishwa hapo juu)[emoji115]
●Ili uendeshaji wa Shule uende ipasavyo, mwanafunzi anatakiwa alipe kiasi chote cha Sh. 1,000,000/= (milioni moja) kabla ya siku ya kuripoti shuleni.
3. Kwa wanafunzi wanaodaiwa ada ya awamu ya kwanza wanatakiwa kukamilisha kiasi chote cha deni hilo pamoja na Malipo ya Awamu ya Pili na ya Tatu Sh.1,000,000/=
6. Wanafunzi wote wasiolipia BIMA YA AFYA TSH. 50,400/= wanakumbushwa kulipia katika akaunti za Shule na kukabidhi risiti hiyo kwa Muhasibu ili asajiliwe na kuweza kupata huduma ipasavyo.
Tunawaomba wazazi/walezi kukamilisha Malipo kama yalivyoelekezwa na Uongozi wa Shule ili kufikia Malengo yetu kwa pamoja.
N:B. Malipo yote yafanyike kupitia Akaunti za shule:-
AMANA BANK
Acc Name: IBN JAZAR ENGLISH MEDIUM SCHOOL
Acc No: 001120310750001
KCB BANK
Acc Name: IBUN JAZAR ISLAMIC ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOL
Acc No: 3300618819
NBC BANK
Acc Name: IBUN JAZAR ISLAMIC ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOL
Acc No: 048132000088
Kwa maelekezo zaidi:
0658514451 Mkuu wa Shule
0659907513 Muhasibu.
Shukran
Ndugu Mzazi/Mlezi;
*Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:-
1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-
● Kiwango cha Ada ya awamu ya Pili(Mwezi March) ni Sh.500,000/= badala ya Sh.600,000/= hapo mwanzo.
●Awamu ya Tatu(Mwezi June) ni Sh.500,000/=
●Awamu ya Nne(Mwezi septemba) ni Sh. 500,000/=
● *Baada ya punguzo hilo, Jumla ya Ada kwa Mwaka huu itakuwa 2,500,000/= Badala ya 2,600,000/= hapo kabla.*
2. Mara tu Mwanafunzi atakaporipoti atatakiwa kulipa kiasi cha Tsh. 1,000,000/= (ambayo ni mjumuisho wa awamu ya Pili na ya Tatu kama ilivyoainishwa hapo juu)[emoji115]
●Ili uendeshaji wa Shule uende ipasavyo, mwanafunzi anatakiwa alipe kiasi chote cha Sh. 1,000,000/= (milioni moja) kabla ya siku ya kuripoti shuleni.
3. Kwa wanafunzi wanaodaiwa ada ya awamu ya kwanza wanatakiwa kukamilisha kiasi chote cha deni hilo pamoja na Malipo ya Awamu ya Pili na ya Tatu Sh.1,000,000/=
6. Wanafunzi wote wasiolipia BIMA YA AFYA TSH. 50,400/= wanakumbushwa kulipia katika akaunti za Shule na kukabidhi risiti hiyo kwa Muhasibu ili asajiliwe na kuweza kupata huduma ipasavyo.
Tunawaomba wazazi/walezi kukamilisha Malipo kama yalivyoelekezwa na Uongozi wa Shule ili kufikia Malengo yetu kwa pamoja.
N:B. Malipo yote yafanyike kupitia Akaunti za shule:-
AMANA BANK
Acc Name: IBN JAZAR ENGLISH MEDIUM SCHOOL
Acc No: 001120310750001
KCB BANK
Acc Name: IBUN JAZAR ISLAMIC ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOL
Acc No: 3300618819
NBC BANK
Acc Name: IBUN JAZAR ISLAMIC ENGLISH MEDIUM NURSERY AND PRIMARY SCHOOL
Acc No: 048132000088
Kwa maelekezo zaidi:
0658514451 Mkuu wa Shule
0659907513 Muhasibu.
Shukran
Well inategemea na unavyojua wewe Ada ya shule inagharamia vitu gani: 1. mfano kwa muda uliofidiwa haimaanishi kwamba mwanafunzi atapanda Basi la shule twice ndani ya siku moja kwenda shule. 2. Kwenye kukokotoa Ada huwa yanaangaliwa Mambo kadhaa ikiwemo chakula, gharama za bills Kama maji umeme, na kwa kuongeza masaa mawili kwa siku haviwezi kumaanisha wanafunza watapata nafasi ya kufidia hizi gharama pia. 3. Ukisema mwanafunzi atafundishwa masaa mawili zaidi kitaalam wanaoathirika Ni mwalimu na mwanafunzi kwahiyo lazima kuwe na consideration.Lkn mleta mada muda si umefidiwa? Watoto wameongezewa masaa ya kusoma na muda umeongezwa mpk December 18,lifikirie ili Jambo kwa kina utaona Kuna haja ya kulipa ada tu. Na Kama na watoto wamepata kazi za shule walipokuwa likizo Ni sawa tu.
Kwani shule za binafsi ni biashara au ni huduma?
Busara gani! Ada inalipwa kwa mwaka, chukulia umepanga nyumba afu ukasafiri mwaka mzima, je utalipa kodi au hutalipa?
Unajua zimeongezwa siku ngapi?Well inategemea na unavyojua wewe Ada ya shule inagharamia vitu gani: 1. mfano kwa muda uliofidiwa haimaanishi kwamba mwanafunzi atapanda Basi la shule twice ndani ya siku moja kwenda shule. 2. Kwenye kukokotoa Ada huwa yanaangaliwa Mambo kadhaa ikiwemo chakula, gharama za bills Kama maji umeme, na kwa kuongeza masaa mawili kwa siku haviwezi kumaanisha wanafunza watapata nafasi ya kufidia hizi gharama pia. 3. Ukisema mwanafunzi atafundishwa masaa mawili zaidi kitaalam wanaoathirika Ni mwalimu na mwanafunzi kwahiyo lazima kuwe na consideration.
So hakuna namna lazima tuition wachukue, lakini pesa za gharama zingine ambazo haziwezi kufidiwa haipaswi kudaiwa. Shule Kama hii walimu wamepewa likizo bila malipo kipindi chote Cha Covid-19 break why unachukua tuition? Waliposomesha online wazazi walilipishwa kila mwezi.
Wewe ni mmoja wa wamiliki?Waalimu wanalipwa mshahara, majengo yanalipiwa kodi au yana gharama za matengenezo, walinzi na gharama nyingine zinakuwepo hata kama watoto wanajifunzia nyumbani. Fedha hizo zinalipwa kwa njia ya ada. Ni sawa ada ilipwe semesta zote.
If you think education is expensive consider ignorance