Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Tatizo wizara haijuwi kutoa mwelekeo baada ya janga la corona nini kifuate.Waziri na team yake wako wapi?
 
no please mkataba haukuwa kufundishana mitandaoni!!! kuna chakula kinakuweko kwenye ada walikula mtaandaoni?kuna boarding cost walilala mtandaoni wa shule?nk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwani unalipia muhula au sylabus ya mwaka. Ningeelewa ikiwa watapunguza ada ya hostel lakin sio masomo kwani mwalim lazima amalize sylabus
 
We mbona unakua mpuuzi huoni kwamba ratiba imebadilika na siku zilizopotea wamezifidia ili kuwawezesha wanafunzi kucover syllabus zao?
 
Taratibu kiongozi hawa watu tuwaeleweshe kwa upole[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu muhala wa kwanza unaisha August 28,tusaiane ada ya muhula wa pili wakati bado haujaanza. Otherwise hakuna naona muda waliokaa nyumbani umefidiwa.

Huyo Dada wakili na kada wa CCM YEHODAYA achana nae ni mbishi tu mume wake atakuwa anapata tabu sana.
 
We mbona unakua mpuuzi huoni kwamba ratiba imebadilika na siku zilizopotea wamezifidia ili kuwawezesha wanafunzi kucover syllabus zao?
Kwa nini wamiliki wa shule kwanza wawe na maamuzi ya mwisho,this in itself is wrong.Kunatakiwa kuwe na concesus ya wazazi na shule.And then watoto wa Form II watakaa miezi 7,na watoto wa madarasa mengine miezi nane,how do say ni muda ulele.Acheni wizi.Lazima ada ipungue by 25%!Na tutahakisha haki inatendeka,hamuwezi kuibia wazazi.Msivalie shida viroba.
 
Kwani unalipia muhula au sylabus ya mwaka. Ningeelewa ikiwa watapunguza ada ya hostel lakin sio masomo kwani mwalim lazima amalize sylabus
Bei ya chakula,maji,umeme,malazi haina budi kupungua mkuu,mtang'aniaje,mbona hii iko wazi.Hizo ni roho za wizi.
 
Weka wazi wizi upo wapi? Ili usaidiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn mleta mada muda si umefidiwa? Watoto wameongezewa masaa ya kusoma na muda umeongezwa mpk December 18,lifikirie ili Jambo kwa kina utaona Kuna haja ya kulipa ada tu. Na Kama na watoto wamepata kazi za shule walipokuwa likizo Ni sawa tu.
 
Well inategemea na unavyojua wewe Ada ya shule inagharamia vitu gani: 1. mfano kwa muda uliofidiwa haimaanishi kwamba mwanafunzi atapanda Basi la shule twice ndani ya siku moja kwenda shule. 2. Kwenye kukokotoa Ada huwa yanaangaliwa Mambo kadhaa ikiwemo chakula, gharama za bills Kama maji umeme, na kwa kuongeza masaa mawili kwa siku haviwezi kumaanisha wanafunza watapata nafasi ya kufidia hizi gharama pia. 3. Ukisema mwanafunzi atafundishwa masaa mawili zaidi kitaalam wanaoathirika Ni mwalimu na mwanafunzi kwahiyo lazima kuwe na consideration.

So hakuna namna lazima tuition wachukue, lakini pesa za gharama zingine ambazo haziwezi kufidiwa haipaswi kudaiwa. Shule Kama hii walimu wamepewa likizo bila malipo kipindi chote Cha Covid-19 break why unachukua tuition? Waliposomesha online wazazi walilipishwa kila mwezi.
 
Busara gani! Ada inalipwa kwa mwaka, chukulia umepanga nyumba afu ukasafiri mwaka mzima, je utalipa kodi au hutalipa?

Unapotosha!

Gharama za shule zimeainishwa kabisa kuna ada (kodi), usafiri (usafi), chakula (umeme), na bweni (maji) kwa mfano wako... sasa hapo labda ada ndo nitaweza kulipa ilimradi watakamilisha syllabus.

Na walivyo wajanja ada huwa sio kubwa kivile, sijui wanakwepa nini... unakuta jumla ya gharama kwa mwaka 2.5M ila ada ni 600k tu.

Chakula na usafiri ni huduma ambazo huchukua sehemu kubwa ya gharama, utazilipia bila kutumia.?
 
Unajua zimeongezwa siku ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mmoja wa wamiliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…