Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

Si yameongezeka masaa mawili kufidia muda uliopotea na kufutwa likizo. Maana July likizo ndefu ya mwezi mmoja imefutwa, September wiki mbili zimefutwa na December wiki mbili zimemegwa jumlisha masaa mawili ya ziada. Hivyo ni haki kabisa kulipa ada ya mwaka mzima
 
Uongozi wa shule upo sahihi kudai fedha hizo, hakuna namna wazazi walipe tu. Maana patakuwepo na programu za kufidia muda uliopotea, wizara ya elimu imetoa maelekezo hayo. Kadiri ya kumbukumbu zangu, Ndalichako alisema pasiwepo na gharama za ziada kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kwa ajili ya kukabiliana na COVID-19.
 
Hali bora za walimu ni wajibu wa shareholder sio mzazi tusibambikane gharama au hasara wakati faida mwenye shule ukipata huwa hugawani na wazazi!!!
We Jamaa una roho ya ajabu sana
Hivi unadhani,hizo pesa zako zinaweza kufikia thamani ya elimu inayotolewa na Mwalim wa Mwanao.....!!!
Acha roho ya ajabu
Leo mwanao akipata maendeleo na mafanikio,huna hata nafasi ya kumkumbuka Mwalim wa Mwanao,Hata huyo Mwanao hatomkumbuka katika maisha yake....Basi hili la Stahiki yake pia...unataka kuipigia mahesabu na Calculater.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

We Jamaa ni wa ajabu sana
Hufai.....
Hufai.....
Hufai.....
 
Nadhani maelekezo ya serikali ni haya
 
Nadhani wanataka walipe ili waalimu waendelee kulipwa maana walikuwa wamefunga ila walilipwa na pesa za ada ndio kazi yake. ila shule za private ni ghali sana hapo bado chuo kikuu dah
Na kama mzazi naye huko alikokuwa anafanya kazi nako korona imesababisha afukuzwe kazi, inakuwaje..!??
 
Tuliza jazba..mwalimu kufundisha ni wajibu wake, na mzazi anao wajibu wa kulipa ada. Hayo masuala ya kukumbukana ni yako, swali ni kwanini mzazi alazimishwe kulipia kipindi ambacho mtoto hajafundishwa?
 
Wataka afundishwe nini zaidi ya hayo aliyofundishwa mwezi wa 1,2 na 3....
Tazama thamani ya Mwalim na Elimu itolewayo


Tumia akili kufikiri,na wala usitumie Miguu yako kutafakari
Tuliza jazba..mwalimu kufundisha ni wajibu wake, na mzazi anao wajibu wa kulipa ada. Hayo masuala ya kukumbukana ni yako, swali ni kwanini mzazi alazimishwe kulipia kipindi ambacho mtoto hajafundishwa?
 
Tuliza jazba..mwalimu kufundisha ni wajibu wake, na mzazi anao wajibu wa kulipa ada. Hayo masuala ya kukumbukana ni yako, swali ni kwanini mzazi alazimishwe kulipia kipindi ambacho mtoto hajafundishwa?
Wazazi ni kipindi gani wanetu hawajafundishwa ? Embu bainisha siku japo kwa idadi.

Ukiona ni vigumu rejea huko juu kuna post inafafanua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda unaoongezeka hadi Disemba 18... inaeleweka hadi... lakini kuongeza masaa mawili hakufanyi school basi itumike wala hakuongezi mlo kufidia kipindi walichokuwa home... wapige hesabu warudishe chenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…