Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Buku + Jero = KisunguraDogo miaka 25 , ameshaanza kupoteza kumbukumbu .
Dogo miaka 25 , ameshaanza kupoteza kumbukumbu .
Nao si wanakuwa, wanazeeka ni kweli, GenZ wa '98 amebaki kidogo kufika 30yrs. Unadhani maisha yanasimama!!
Food and life styles
Buku + Jero = Kisungura
Madogo wanakunywa sana gongo za kwenye vikopo na vichupa vya plastic wenyewe wanaita vijogoo sijui visungura wanavinywa vibaya mno
Vimiminika + ugumu wa maisha. Lazima uzeeke.
Mhm kwenye vimiminika sio kweliVimiminika + ugumu wa maisha. Lazima uzeeke.
Unalosema n kwel