Naona speed or rate ya kuzeeka kwa Gen Z ni kubwa tofauti na ya Millennials

Millennials hawajazeeka ama sijakuelewa msee πŸ˜…

Millennials hawa hawa ambao wamejaziana kama rumbesa

Wanazeeka ila speed yao ya kuzeeka sio kama Gen Z meku. Gen Z tunazeeka kwa speed sana sijui nini shida πŸ˜‚
 
Hawa vijana sijui wanakula nini, inashangaza sana wanavyozeeka haraka! Kijana mdogo tayari ana midevu tele, upara, mvi kibao mpaka kwenye kwenye ndevu, kitambi. Hawa kutoboa miaka 70, 80, 90 hadi 100+ ni majaaliwa. Miaka 30 tu wanaonekana ni wazee

Na wanapoteza kumbukumbu sana. Yani wana tatizo lakusahau sahau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…