Kaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatie😆
Ujue ile ni kemera mamnyong'ode!!!! Nina watoto wawili na majukumu oredeHata kuiandika tu hujazoea acha zako dogo😆
Hahahaha 😂 tukutane jumammosi kitchen galaKaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatie😆
Mimi mwenyewe ningeamua ningekuwa nao hata sita sasa hivi! Ni maamuzi tu wala havihusiani!Ujue ile ni kemera mamnyong'ode!!!! Nina watoto wawili na majukumu orede
Kuna kitchen gala wapiHahahaha 😂 tukutane jumammosi kitchen gala
Kwan tunashindana boss 🤔Mimi mwenyewe ningeamua ningekuwa nao hata sita sasa hivi! Ni maamuzi tu wala havihusiani!
Dina marios 😂Kuna kitchen gala wapi
Ndio!Kwan tunashindana boss 🤔
Unaninyanyasa sioNdio!
Nina muda sijaingia insta kumbe kuna gala mwezi huu, nilipie basi vip na kitenge boss😎Dina marios 😂
Ndio, lazima unyooshweUnaninyanyasa sio
Hahahaha kitenge cha nn nunua ya dukanNina muda sijaingia insta kumbe kuna gala mwezi huu, nilipie basi vip na kitenge boss😎
Kitchen gala huwa tunavaa sare jamani😒Hahahaha kitenge cha nn nunua ya dukan
Hv lengo la zile kitchen gala za dina ninn 🤔Kitchen gala huwa tunavaa sare jamani😒
Kaongo mno haka kanatamani ukubwa kanataka mishangazi tukazingatie😆
Kujifunza na wanawake wengine kupata tuzo za biashara zao, na mambo kibao ya wanawake tu!Hv lengo la zile kitchen gala za dina ninn 🤔
Maisha magumu pote, vijana kazeniUmeonae na ugumu wa maisha sio mchezo
Maisha magumu pote, vijaza kazeni