FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Mipaka gani unayosema? Golan Heights?Unaweza ukaleta ushahidi lini Syria ilitumika kushambulia Israel??
Je unazungumziaje Israel kukalia baadhi ya mipaka ya Syria je hiyo sio violation of international law?
Unazingua!Ushafeli.
HIzbollah hupigana akiwa Lebanon sio Syria.
Uwanja upi wa vita unaouzungumzia??
Kwani ushasahau mashambulizi ambayo Israel huyafanya kwa Syria mara kwa mara na huku akikalia baadhi ya ardhi ya Syria!?
Mnao lialia ni nyie wayahudi wa mchongoHow you wish Iran ingeifuta Israel.Msije kulialia humu tena
Unajichanganya bro.Unazingua!
Maghala ya silaha ya Hezbollah yanafanya nini Syria?
Nani kayapeleka huko?
Syria: Over 40 killed in alleged Israeli strikes targeting Hezbollah warehouse
The attack reportedly hit at least one weapons warehouse belonging to Hezbollah near Aleppo International Airport.
Source:
Syria: Over 40 killed in alleged Israeli strikes targeting Hezbollah warehouse
The attack reportedly hit at least one weapons warehouse belonging to Hezbollah near Aleppo International Airport.www.al-monitor.com
Israeli strikes target Hezbollah inside Syria, sources say
AMMAN, March 19 (Reuters) - Israel launched missiles at several military targets outside the Syrian capital Damascus on Tuesday, Syria's defence ministry said, in what regional intelligence and Syrian sources said were stepped up strikes on fortifications of Lebanon's Hezbollah.
Source: Reuters | Israeli strikes target Hezbollah inside Syria, sources say
Naijua historia vizuri kama Gollan imeporwa kwa insurgence zilizoanza 1966 kuja mpaka 1967.Mipaka gani unayosema? Golan Heights?
Soma historia kuanzia Vita ya Siku Sita (1967).
Acha kuhalalisha mambo ya kipuuzi mbona Urusi haijawahi kushambulia ofisi za kibalozi za nchi za Magharibi zilizoko ndani ya Ukraine ,hali yakuwa nchi za Magharibi zipo zinapigana vita ya uwakala na Urusi kupitia Ukraine?Soma tena Ibara ya 51 ya United Nations Charter.
Syria ni uwanja wa vita. Unatumika na Iran kupitia Hezbollah na makundi mengine kuishambulia Israel. Majenerali wa Iran na wanamgambo wengine waliouawa walikuwa wakifanya nini karibu na uwanja wa vita?
Hezbollah inayoishambulia Israel kupitia Lebanon ndiyo Hezbollah iliyoweka kambi pale Syria. Na sio Hezbollah pekee, bali ni pamoja na makundi mengine yaliyoko vitani na Israel mara kwa mara, yakiungwa mkono na Iran pamoja na Syria yenyewe. Hilo pekee linatosha kuhalalisha mashambulizi yanayofanywa na Israel pale Syria.Unajichanganya bro.
Umesema Hizbollah hutumia Syria kushambulia.
Hapo inaelezea maghala ya silaha haielezei kuwa Hizbollah imefanya mashambulizi tokea Syria.
Maghala ni kwaajili ya uwekaji silaha sio kupigana.
Niletee ushahidi wa Hizbollah kurusha makombora tokea Syria.
Mpaka sasa Israel na Syria ni nchi zinazo hasimiana kutokana na vita zilizopita, na wala hazina mahusiano yoyote ya kidiplomasia. Kama unafahamu vizuri sababu za Golan Heights kuchukuliwa na Israel, utaelewa kwa nini mpaka sasa Israel haitaki kuachia Golan Heights kama ambavyo iliachia Sinai na maeneo mengine.Naijua historia vizuri kama Gollan imeporwa kwa insurgence zilizoanza 1966 kuja mpaka 1967.
Je ni sawa kufanya annexation ya Gollan!?
Tusiende mbali,2021 Israel imekua ikifanya mashambulizi ya anga Syria pasi na kuchokozwa kivyovyote huku akiharibu millitary infrastructure za jeshi la Syria,je hilo ni sawa!?
Naona mjadala umefikia kwenye whataboutery. Tumeanza kujadili; "mbona fulani hajafanya hiki?", "mbona fulani kafanya hiki na hajajibiwa?", "mbona fulani kaenda, karudi?"... hakuna shida, tuendelee tu!Acha kuhalalisha mambo ya kipuuzi mbona Urusi haijawahi kushambulia ofisi za kibalozi za nchi za Magharibi zilizoko ndani ya Ukraine ,hali yakuwa nchi za Magharibi zipo zinapigana vita ya uwakala na Urusi kupitia Ukraine?
Mbona makundi yanayo ugwa mkono na Iran yamekuwa yakifanya mashambulizi dhidi ya masilahi ya Marekani lakini Marekani hajawahi kufanya huo upuuzi uliofanywa na Israel?
Alafu Syria sio uwanja wa vita bali ni taifa huru acheni kuhalalisha upumbavu.
Je unajua siasa za Iran ?? Ni sawa na kusema uingereza wananchi wanamuangusha mfalme kule vinavyofanya siasa ni vyama mrengo wa makundi 2 yaani reformist na conservative ,ayatollah yeye ni mkuu wa nchi na kiongozi mkuu wa kidini kama vile vatican haendeshi serikali yeye chama kinachoshinda kinatoa raisi na wabunge na kuunda serikali .Usichojua wananchi siyo chama au si mtu mmoja!
Hivo maoni tofauti tofauti katika kila jambo liwe zuri au baya ni kawaida.
Hivo usitegemee kuna siku raia wote watakua kwene ukurasa mmoja.
Approval inapimwa kwa %
Na disapproval kwa %
hivo hivo public support inapimwa kwa % pia
Hii kwa mujibu wa sheria zako binafsi ?Huyo bado haelewi kwamba hizi nchi mbili (Iran na Israel) hazina mahusiano ya kidiplomasia. Isitoshe, ziko kwenye vita ya muda mrefu.
Kitendo cha Iran kupeleka wanajeshi wake kwenye ubalozi wake pale Damascus (karibu na uwanja wa vita), kunawafanya wastahili kushambuliwa.
Huyo bado haelewi kwamba hizi nchi mbili (Iran na Israel) hazina mahusiano ya kidiplomasia. Isitoshe, ziko kwenye vita ya muda mrefu.
Kitendo cha Iran kupeleka wanajeshi wake kwenye ubalozi wake pale Damascus (karibu na uwanja wa vita), kunawafanya wastahili kushambuliwa.
Habari inasema Al Quds ambao ni Palestinian armed wing ndio huitumia Syria kwaajili ya mashaHezbollah inayoishambulia Israel kupitia Lebanon ndiyo Hezbollah iliyoweka kambi pale Syria. Na sio Hezbollah pekee, bali ni pamoja na makundi mengine yaliyoko vitani na Israel mara kwa mara, yakiungwa mkono na Iran pamoja na Syria yenyewe. Hilo pekee linatosha kuhalalisha mashambulizi yanayofanywa na Israel pale Syria.
Umeomba ushahidi kuhusu Syria kutumika kuishambulia Israel. Huu hapa:
Israel launches artillery attacks on Syria after rocket fire
Israeli army says six rockets were fired from Syria towards Israel, one of which landed in the annexed Golan Heights.www.aljazeera.com
2021 Israel ilifanya mashambulizi ya anga Syria pasi na kufanyiwa provocation.Mpaka sasa Israel na Syria ni nchi zinazo hasimiana kutokana na vita zilizopita, na wala hazina mahusiano yoyote ya kidiplomasia. Kama unafahamu vizuri sababu za Golan Heights kuchukuliwa na Israel, utaelewa kwa nini mpaka sasa Israel haitaki kuachia Golan Heights kama ambavyo iliachia Sinai na maeneo mengine.
Kuhusu swali lako la pili: una uhakika kwamba Israel imefanya mashambulizi bila kuchokozwa? Huko kwenye post za nyuma nimeeleza vyema kile kinachoendelea kati ya Israel na Iran pale Syria na maeneo ya karibu.
Hii ni kama unampigia miluzi ya kumwita mbwa anaeibaga vifaranga vyako. Akikaribia ndio atajua hajui.🤣 marekani ameshasema hausiki na uchokozi wa Israeli kwahiyo Iran akiamua apige popote anapotaka
Kwanza unapaswa kujua sababu ya vita iliyopelekea kutekwa.2021 Israel ilifanya mashambulizi ya anga Syria pasi na kufanyiwa provocation.
Unaweza ukatuletea sababu ya Gollan kutekwa na Israel 1967??
Nasubiri jibu.
Nashukuru nimepata elimu hapaKwanza unapaswa kujua sababu ya vita iliyopelekea kutekwa.
Golan yenyewe ina vyanzo vingi vya maji vya bahari ya Galilaya ambayo ni hifadhi kuu ya maji ya Israeli. Katika miaka ya 60 Wasyria walijaribu kujenga mabwawa mbalimbali juu ya vyanzo hivi vya maji na kudhibiti vyanzo vya maji vya Israeli. Israel ililipua mabwawa haya katika kile kinachojulikana "vita vya vyanzo vya maji". Kwa kujibu, Washami walishambulia kwa mabomu vijiji vya Israeli huko Galilaya, kama walivyokuwa wakifanya mara kwa mara. Hii ni sehemu ya kile kilichosababisha baadaye vita ya siku sita na kuchukuliwa kwa milima ya golan.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu labda swali la muhimu ni kwanini Israel iliteka hivyo vilimaNaona mjadala umefikia kwenye whataboutery. Tumeanza kujadili; "mbona fulani hajafanya hiki?", "mbona fulani kafanya hiki na hajajibiwa?", "mbona fulani kaenda, karudi?"... hakuna shida, tuendelee tu!
Hivi, hizo nchi ulizozitaja hapo zinastahili kwa kiasi gani kutolewa mifano mema kwenye masuala haya ili kuonesha kwamba kilichofanywa na Israel ni "upuuzi"? Labda kama ni mzaha unafanya!
Syria ni uwanja wa vita hivi sasa ninapoandika post hii, na imekuwa hivyo tangu mwaka 2011.
Kwa Israeli, kituo cha kijeshi huko Golan kinatoa faida ya kimkakati, kwani eneo lote la kusini mwa Syria linaonekana kutoka hpo golan, na umbali wa mji mkuu wa nchi ya Syria Damascus, ni kama kilomita 60. Kwa hiyo, ndio sababu ya Israel kukataa kurudishaGolan kwa Syria.Nashu
Nashukuru nimepata elimu hapa
Inanikumbusha vita ya washami na WA Israel miaka maelfu iliyopita
Kuna kipindi walisema Mungu wa Israel ni wa milimani ndo maana walishindwa mapambano ya milimani
Wakaomba mechi ya tambare bado washami wakapigwa Tena
Najaribu kuvata picha ya hivyo vilima vya Golan kwanini vinagombaniwa umiliki wa kijeshi
Magaidi dawa yao ni hiyo tu kama mmenuna dini yenu inasema katawazeni.Huna akili. Utetezi wa kijinga sana. Kwahiyo unahalalisha nchi kufanya mashambulizi ya kijinga kwa hisia