Nape pamoja na watanzania walio wengi hawawezi kuwa na ubongo wa kuweza kuyajua hayo, wao husubiri tu zile sms za "umetumia 75 ya bando lako"Huu ndio mchezo na ninacho jiuliza Nape ametumia mbinu gani kufanya hitimisho hili?
Kasha vuta chake hana time tena na wananchiHuku huja sms umetumia 75% ya GB zako baada ya sekunde kadhaa hata hiyo 25% haipo tena
A/C ya baby wake ndiyo inatumikaAmetumia mbinu ya kuwapa account yake ya benki mambo yasiwe mengi! Atakuwa anakula mrabaha wake tu kila mwezi
Ni mambo ya aibu hakuna cha VODA wala niniVoda wanajitahidi, nenda halotel ukauone wizi wa waziwazi.
Hahahahahah noma kweliA/C ya baby wake ndiyo inatumika
Halotel hao, wakikwambia umetumia 75% ujue bando limeisha. Huu mtandao umekuwa wa kihuni sana sikuhizi, nafikiri ni kwasababu unamilikiwa na mabepari wa kitz.Huku huja sms umetumia 75% ya GB zako baada ya sekunde kadhaa hata hiyo 25% haipo tena
Yeye anawekewa vocha na ofisi bado makampuni yanampa bonus za kutoshaNape pamoja na watanzania walio wengi hawawezi kuwa na ubongo wa kuweza kuyajua hayo, wao husubiri tu zile sms za "umetumia 75 ya bando lako"
Hii nchi ni rushwa tupuHahahahahah noma kweli
Mie bado hawajaanza kunitapeli! Jana wamentumia hio ya 75% ila nina zaidi ya siku 4 toka nijiungeHuku huja sms umetumia 75% ya GB zako baada ya sekunde kadhaa hata hiyo 25% haipo tena
Ukilinganisha na upupu wa network providers wengine, atleast hao wana unafuu.Ni mambo ya aibu hakuna cha VODA wala nini
Huwezi jua sababu wameseti meseji unayopata wewe ikuoneshe umepokea 5GB ila kimsingi umeibiwa.
Kifurushi changu cha sasa nilijiunga Voda cha buku 5 ni GB 3 za week nzima naona wamenipa GB halisi maana Zantel nao wamekuwa wezi sikuhizi Unajiunga elfu 2 kila siku 1.3GB za week ila hazitoboi
Unabahati mkuu jana ilibidi niwatwangie na kukoroma kidogo kwahiyo toka walipo tuma sms imebaki 25% saa 9:37 alasiri hadi sasa bado halija ishaaMie bado hawajaanza kunitapeli! Jana wamentumia hio ya 75% ila nina zaidi ya siku 4 toka nijiunge
Mkuu nina line 4(Voda, Airtel, Halotel na Tigo) hakuna penye unafuu, kila line huwa najitahidi kuweka elfu 10 kwa mwezi lakini hazitoboi hasa upande wa bando angalau dak zinatoboaUkilinganisha na upupu wa network providers wengine, atleast hao wana unafuu.
Mie mpaka sasa pia bado hawajanikatia umeme!Unabahati mkuu jana ilibidi niwatwangie na kukoroma kidogo kwahiyo toka walipo tuma sms imebaki 25% saa 9:37 alasiri hadi sasa bado halija ishaa
Nape kapewa Rushwa yake safi ametuliaMimi nina case study tofauti.
Laini yangu kuu ni HALOTEL. Ndg yangu mmoja siwezi kumpata kwa Halotel kila nikimpigia inatumika tuu... tena kwa laini zake mbili.
Ndipo nikaamua kuweka salio kwenye voda yangu.
Niliweka 500 nikanunua kifurushi chenye dakika 30 kwa siku. Papo hapo nikampigia tukaongea kwa 20mn kifurushi kikaisha. Nikanunua tena nikaongea 20mn tena kikaisha.
Ukiuliza salio linaonysha lipo lakini ukipiga unaambiwa huna salio.
Kuna shida mahali. Huyu jama tayari yuko compromised.
Kwa sababu nimegundua mtandao ambao bado hauna shida sana ni TTCL kwa hiyo ukiwa huko underground apps hazisomi internet??
Namuunga mkono asilimia mia moja waziri. Kuna uelewa mdogo wa watumiaji wa smart phones, hicho anachokisema ni sahihi kwa sababu binafsi kuna wakati nilihisi bundle langu linaisha bila kuelewa lina isha vipi.
Nilichofanya nili install app ya ku track all my internet usage, hii app inakuonesha kabisa una bundle lenye mb ngapi na jinsi linavyoenda likiisha. Pia hii app ilikua ina list apps zote kwenye simu ikianza ile inayotumia bundle zaidi, mfano ticktock, instagram, twiter, telegram etc.
Kwa hili nikaja kujua nini kinamaliza bundle langu. Hii app nilikuta inatumia hadi mb 12 saa nyingine wakati hata sijaifungua. Nilifanya maamuzi ya kuitoa kwenye simu yangu, tokea hapo bundle linatumika vizur.
Kwa hiyo ni kweli, hakuna anayesema anaibiwa bundle ataweza kuleta ushaidi wa hilo, sana sana tu mtu ana back ground apps zinazo run na kumaliza bundle lake na hazijui.
Sent using Jamii Forums mobile app